nG'aMBu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,055
- 3,120
Sasa kama yeye ni shabiki la AL ahly je?Akihojiwa na EATV mjumbe wa kamati tendaji Yanga bwana Alex Ngai amesema Yanga wanatamani siku moja na wao wapate fursa ya kushiriki African football league, lakini amewatakia kila la Kheri Al Ahly katika michezo yake dhidi ya Simba.