Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji Chipukizi CCM Taifa Ndg. Isaac M. Nchemba amewaasa Watanzania kuipenda na kuilinda nchi ya Tanzania kwakuwa kupitia upendo ndipo uzalendo wa kuijenga nchi kimaendeleo kwa mtu mmoja kunatokea pia amewaasa wazazi na walezi kuwaonjesha watoto tunu hiyo ya uzalendo kwa sasa na vizazi vijavyo.
Tanzania ni nchi yetu tunapaswa kuipenda, kuilinda na kuithamini pia naomba wazazi wawafundishe watoto namna ya kuipenda, kuilinda na kuithamini Mama Tanzania.
Tanzania ni nchi yetu tunapaswa kuipenda, kuilinda na kuithamini pia naomba wazazi wawafundishe watoto namna ya kuipenda, kuilinda na kuithamini Mama Tanzania.
