LEX STEELE
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 224
- 110
Then hutu atakuwa ndio Asha Dii!.
NB, Japo ni kosa kumhisi member yoyote kuwa ni fulani, lakini kwa vile jf was ment to be the home of great thinkers, but very unfortunately imetokea ma great thinkers wa ukweli ni wachache humu jukwaani na wanahesabika!, na wanawake ni wachache zaidi, kumfananisha member yoyote humu na watu kama WOS, ni kumpa chati ya juu, na sio kosa!.
Pasco
sio Asha diii
Kwa hiyo nani.!
Wana JF,
Nimesikiliza mchango wa huyu mdada Maria Sarungi Tseai. She sounds good! Anaonekana IQ(Intelligent Quotient) yake inafanya kazi sawa x2.
Kwa maoni yangu huyu mdada amewafunika wanawake wote wakiwemo Wabunge wakongwe wa CCM kina Anna Tibaijuka na wajina wake Anna Makinda na Anna Malecela. Hakika mchango wake ni very strong na huwezi kuutilia shaka hata kidogo. Alichozungumza ni ukweli na ukweli mtupu.
Lakini niseme tu kwamba nimesikitishwa sana na michango ya baadhi ya wana JF kwa kuacha kujadili HOJA aliyochangia Dada Maria badala yake wameanza kumjadili alivyo,sijui kasoma wapi, sijui baba yake ni mjaluo na vitu kama hivo. Hii ndiyo wanayosema wazungu,''Intelligent mind discuss issues while Foolish mind discuss people''
Kinachotakiwa hapa ni kujadili hoja iliyoko mbele yetu kuhusu mchango wa huyu mjumbe juu ya Katiba mpya na si kuanza kujadili yeye ni nani,kabila gani na baba ni mjaluo na upuuzi mwingine!!!Tujadili hoja na si kujadili watu.
Mnadhani wajaluo sio wazuri??? Hahahaaaa....
Ila huyu mmama 24hrs yupo twitter sijui anamuda kwa kuwa makini bungeni
Nilisoma primary nao hawa mabinti, na shule yetu ilikuwa na set nyingine za poit five kama 6, wakiwemo hawa na wengi walikuwa mabinti, kuna wengine wakiitwa Stephania na Nikki Sefu, kulikuwa na Pint five za Sepetus, Poit five za Mtuyabaliwes, Point five za Kimeseras, na point five za Msuya's.
Kiukweli nilitokea kuwapenda hawa point five, sikujua why, ukubwani ndipo nikaja kujua kuwa kumbe sisi watu wa Kanda ya Ziwa ni hoi kwa rangi fulani!. Na ikatokea wengi wa pont five ni vichwa mbaya!, contributing reasons ni kuwa wengi wa wabongo vichwa sana ndio waliopata scholaship za ulaya enzi hizo rushwa bado!, wakiwa shule, walioana na wanafunzi wenzao, mabinti wa kizungu ambao pia ni vichwa, matokeo ni kuproduce vi off spring vichwa vichwa!.
Nadhani kuna direct relation kati ya ukichwa wa baba ukijumlisha ukichwa wa mama kuproduce watoto vichwa!.
Pasco.
Pasco unaweza ukamjua Maria ukubwani lakini sio kweli kwamba umesoma naye. Wewe ulisoma Oysterbay, yeye kasoma Bunge. Na kishule alikuwa nyuma yako sana. Wao wako wawili kwa mama wa ki 'hungary' naye ni mtoto wa pili. Unaweza ukawa unamfagilia lakini usionyeshe kuwa unamjua kiasi hicho
Kwahiyo Pasco primary ulisoma Bungo Morogoro? Mmh!!!
Valour...... Ni pm inawezekana tunafahamiana. Stephania was my friend.....
Ni binti wa Prof. Sarungi!. Namfananisha na binti mmoja, Stephania niliyesoma naye primary, ni kichwa kweli kweli cha ukweli!.
Nadhani ana 1st degree ya Journalism, na Masters ya Communications, anakampuni yake ya Compass Communications,
She is no nonsense lady!.
Pasco
Mnadhani wajaluo sio wazuri??? Hahahaaaa....
Saaaaanaaaaaaaaaaaaaaaa. ........... Tena watamu balaa! Jaribu uone!!!
Hahahaha duh!Pasco unaweza ukamjua Maria ukubwani lakini sio kweli kwamba umesoma naye. Wewe ulisoma Oysterbay, yeye kasoma Bunge. Na kishule alikuwa nyuma yako sana. Wao wako wawili kwa mama wa ki 'hungary' naye ni mtoto wa pili. Unaweza ukawa unamfagilia lakini usionyeshe kuwa unamjua kiasi hicho
Mimi pia nimesoma, PCM Tambaza na nilipasua na sasa ni mwanahabari!.Balaa. Halaf akawa mwandishi wa habari....????????
Mimi pia nimesoma, PCM Tambaza na nilipasua na sasa ni mwanahabari!.
Kuna waandishi wa habari wa aina mbili.
1.Wale waliofeli masomo hivyo kuingia media kama the only option left for them!.
2.Wale waliofanya vizuri kwenye masomo yao, wakaamua kuingia media for the love of it, hivyo ni waandishi by choice not by chance!.
Pasco
Ningeendelea PCM ndipo nikaandike habari?!.Mmmmmmh haya mkuu!!!!!!
Ila.mngesoma hayo mavitu halafu mkaongeza na elimu ya habari mngekuwa mitambo sana na ingepunguza waandishi wa habari "kujua" sana!!!!
Ningeendelea PCM ndipo nikaandike habari?!.
Pasco