Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

Kwa hiyo ni mjaluo! Teh! Teh! Teh!

Ni Obama wa Tanzania . Anaweza kwenda mbali kisiasa lakini si katika CCM maana haisafishiki na imeoza. Kama anataka kwenda mbali katika political career yake itambidi ajitanabaishe na kambi ya upinzani inayopigania uhuru wa pili dhidi ya wakoloni weusi na dhalimu CCM. Binafsi nitamuunga mkono atakaposimama upande wowote dhidi ya wahalifu hawa.
 
Ni kweli, alimaliza A-level PCM akiwa na points 3!!

What...............................3 points PCM ?

Ngoja nishtuke na kwa kichaga pia.............Embeeeeeeeeee

I didint know that.................................I salute her.
 
To be honest she is the IRON lady..!!! Kawashinda hata kina mama tibaijuka na uprofessor wao..!!
 
Kwa upande wangu, baada ya kujua exactly tunapewa kiasi gani, hii posho ya kujikimu ni less than gharama yangu ya siku hapa #ChangeTanzania
7:02am - 17 Feb 14

Haya maneno aliyasema twitter ana doubleness of thought kuhusu posho, msimwamini kabisa.

Kama aliandika hivyo basi ngoja ni play part yangu............BOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.......
 
I just wish kuwa vitu vya aibu wanavyofanya baadhi ya wajumbe wa bunge la katiba yasiwahusishe wote.
na mambo mazuri wanayofanya baadhi yao pia yawe ya kwao.
Pamoja na kuwa bunge ni moja lakini kusema kuwa wajumbe wanadai posho ya nyongeza, wakati zaidi ya nusu hawaitaki si haki. Au kusema wajumbe ni wezi si haki.
 
Huyu dada among other things ni kuwadi mkubwa wa ZZK. Nilishawahi bishana naye Tunuru la Afrika akaja na vitisho vingi nikamtuliza kama fundo la kinana. Akajitetea atanitafuta tuyamalize ila akapotelea mitini. Kwangu mimi hadi sasa namwona kama mwanamke anayeweza kutumiwa ili kufanikisha jambo ovu.
 
Ni binti mkubwa wa Prof. Sarungi!. Nilisoma naye Primary, ni kichwa kweli kweli cha ukweli!.
Ana Diploma ya Journalism, na Masters ya Communications, anakampuni yake ya Compass Communications,
She is no nonsense lady!.
Pasco
Pasco unaweza ukamjua Maria ukubwani lakini sio kweli kwamba umesoma naye. Wewe ulisoma Oysterbay, yeye kasoma Bunge. Na kishule alikuwa nyuma yako sana. Wao wako wawili kwa mama wa ki 'hungary' naye ni mtoto wa pili. Unaweza ukawa unamfagilia lakini usionyeshe kuwa unamjua kiasi hicho
 
Na atuambie product zake ni aje ni vipi au rangi ilimpoteza???!!
Mkuu Ole, kiukweli niliangalia rangi tuu, hayo mengine sikuyajua na sikuyajali, nina watoto 6, watatu wa kiume na watatu wakike, the 1st two wako vyuo, the 2nd 2 wako sekondari, the last two wako primari, ukimuondoa 1st born ni wa kike na ndiye pekee aliye fuata akili za "cheupe" wangu, the rest hawajawahi kuvuka top 5!. Kabinti kangu no.3 kako seki, tangu kakiwa primary, siku kalifeli sana, kalishika nafasi ya pili!, tangu kamekanyaga sekondari, ni number overall nafasi ya kwanza hakuwahi kushuka!.

Mimi ni wa kawaida sana, sikuwahi kupata !, wala kushika nafasi ya kwanza, ila pia academic concentaration yangu ni ndogo!, mambo mengi!, usome, ujirushwe na huku usipitwe!, basi ni taabu tupu!.
Pasco.
 
Wana JF,

Nimesikiliza mchango wa huyu mdada Maria Sarungi Tseai. She sounds good! Anaonekana IQ(Intelligent Quotient) yake inafanya kazi sawa x2.

Kwa maoni yangu huyu mdada amewafunika wanawake wote wakiwemo Wabunge wakongwe wa CCM kina Anna Tibaijuka na wajina wake Anna Makinda na Anna Malecela. Hakika mchango wake ni very strong na huwezi kuutilia shaka hata kidogo. Alichozungumza ni ukweli na ukweli mtupu.

Lakini niseme tu kwamba nimesikitishwa sana na michango ya baadhi ya wana JF kwa kuacha kujadili HOJA aliyochangia Dada Maria badala yake wameanza kumjadili alivyo,sijui kasoma wapi, sijui baba yake ni mjaluo na vitu kama hivo. Hii ndiyo wanayosema wazungu,''Intelligent mind discuss issues while Foolish mind discuss people''

Kinachotakiwa hapa ni kujadili hoja iliyoko mbele yetu kuhusu mchango wa huyu mjumbe juu ya Katiba mpya na si kuanza kujadili yeye ni nani,kabila gani na baba ni mjaluo na upuuzi mwingine!!!Tujadili hoja na si kujadili watu.
 
Pasco unaweza ukamjua Maria ukubwani lakini sio kweli kwamba umesoma naye. Wewe ulisoma Oysterbay, yeye kasoma Bunge. Na kishule alikuwa nyuma yako sana. Wao wako wawili kwa mama wa ki 'hungary' naye ni mtoto wa pili. Unaweza ukawa unamfagilia lakini usionyeshe kuwa unamjua kiasi hicho
Valour, kwani niliitaja jina la hiyo primary niliosoma?!.
Pasco.
 
Halafu utashangaa vichwa kama hivi haviko kwenye mfumo wa uongozi kwenye hii nchi. Badala yake tunapeleka watu South Africa kwenda kusema kwamba Tanzania ni Muungano wa Zanzibar na visiwa vya Zimbabwe!!!! Ooh my God.
 
Back
Top Bottom