Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kampuni yake ndio ilmwandikia Zitto hotuba za kutukana chadema na ndie anatengeneza CD za Zitto
Hahaaa,
Eti muwakilishi wa Tanzania Twitter.
That's some distinction right there.
Prof. Sarungi aliturusha sana Muhimbili. Ila mzee yule msahaulifu kichizi, kila kitu shurti aandike, asipoandika hata majina ya watu kukumbuka tabu ilikuwa.
Mama yake Maria Sarungi ni Mrusi. Nilikuwa sijagundua huyu dada ni kichwa ile mbaya. Hakuna cha Prof Anna Tibaijuka au Celine Kombani. She is really good. Huyu Tibaijuka pamoja na uprof wake anaongea siasa na kuwafool kwa sababu ya exposure yake.
Sasa kama kapewa majukumu na chama lazima atekeleza tu!! lakini ki ukweli ni Dada Mahiri sana.
Hata Zakhia Meghji kachangia pumba na ni mwanamke. Na pumba zikubali piaWanawake wanaweza Bwana. Tena bila kuwezeshwa. Tumeweza na tunasonga mbele. Wale mnaotusema oh! Oh! Wanawake Oh! Oneni vichwa hivyo.
Hongera Maria.
Queen Esther
Huyu mwana mama si kama wale wa kuhadaiwa kwa lift; t-shirt, khanga, kofia na pombe. I wish ladies wangekuwa wanajiingiza kwenye siasa si kama bidhaa bali kwa uwezo wa vichwa vyao! Chanja mbuga nyar Rorya; hata ukitaka jimbo kule home land tupo tutakusaidia kikamilifu!
Naunga mkono hoja.
Mbunge wa sasa ni nani?
sasa km humjui sifa za nini ..wabongo bana.Chupi kabisa...Wangepatikana akina mama kama huyu 30 tuu ndani ya bunge tungekuwa mbali sana Mwenye profle yake ailete Elimu yake na vinginevyo.
Sio binti mkubwa, huyu ni mdogo wa Veronica ambaye alikuwa kichwa sana pote aliposoma. Ila huyu ni tofauti Na dada yake anzia primary. She was more social than the sister. Ndiye mwenye kuandaa miss universe ya Tanzania. Aliyemtoa Flaviana Matata!Ni binti mkubwa wa Prof. Sarungi!. Nilisoma naye Primary, ni kichwa kweli kweli cha ukweli!.
Ana Diploma ya Journalism, na Masters ya Communications, anakampuni yake ya Compass Communications,
She is no nonsense lady!.
Pasco
Ila huyu mmama 24hrs yupo twitter sijui anamuda kwa kuwa makini bungeni
Nitakutumia PM unitajie, kwa PM utakuwa hujavunja kanuni!, ila kama ni mwana jf, nadhani stakuwa ndiye WOS! au.... au....
Pasco.
Safi sana Maria Philemon Sarungi!!! Ni mtoto wa Professor Sugeon wa mifupa Philemon Sarungi ambaye aliingia katika siasa baadaye. She was very bright tangu alipokuwa anasoma sikumbuki kam ani Jangwani au Zanaki. Na akiwa shuleni akikuwa pia anafanya masuala ya environmental conservation. She was a very God fearing lady with manners kwa kweli. Hukuweza kutambua kama alikuwa amezaliwa na mama mzungu. She is smart.
Kwa upande wangu, baada ya kujua exactly tunapewa kiasi gani, hii posho ya kujikimu ni less than gharama yangu ya siku hapa #ChangeTanzania
7:02am - 17 Feb 14
Haya maneno aliyasema twitter ana doubleness of thought kuhusu posho, msimwamini kabisa.