Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

Niliwahi kumuona kigoma huyu binti akifanya shuguli zake za uhandishi wa habari.

Nilimpenda huyu binti punde tu baada ya kumuona. Nampenda sana maria maria maria.
 
Wangepatikana akina mama kama huyu 30 tuu ndani ya bunge tungekuwa mbali sana Mwenye profle yake ailete Elimu yake na vinginevyo.
Nilimwona Star Tv mwaka jana yuko vizuri. Niliposikia kateuliwa mjumbe Bunge la Katiba sikushangaa.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wanaweza Bwana. Tena bila kuwezeshwa. Tumeweza na tunasonga mbele. Wale mnaotusema oh! Oh! Wanawake Oh! Oneni vichwa hivyo.

Hongera Maria.

Queen Esther
 
Ni binti mkubwa wa Prof. Sarungi!. Nilisoma naye Primary, ni kichwa kweli kweli cha ukweli!.
Ana Diploma ya Journalism, na Masters ya Communications, anakampuni yake ya Compass Communications,
She is no nonsense lady!.
Pasco

Ni Binti wa Pili , ana dada yake, wote ni vichwa sana toka primary school walipo kuwa.
 
Alaaa

kumbe mama yake mzungu? nilidhani mwarabu.....au mhindi.....mama yake Mzungu wa wapi?

je ni cabinet material kwa mnaosema atachukua jimbo 2015?

Mama yake ni wa Kutoka Hungary . sijui kwa sas ainaitwaje hiyo nchi kama ilibadilika.
 
Humu ni Maria kasimama kama yeye, baba yake anahusikaje hapa? Kuwa mtoto wa Profesa haihusiani kabisa na hoja zake. Kuna watoto wa watu mashuhuri waliotambuliwa na UN humu kila uchwao wanamwaga pumba. Keep it Maria, halafu akijakugombea ubunge akishinda mtasema kabebwa na baba yake. Mfumo umetuharibu sana. Mnaona na kusikia hamuamini, mnahitaji nini ili muamini uwezo wake?
 
Namkubali sana huyu bi mdada, nimewahi kukutana naye kwenye kongamano moja na kupata nafasi ya kuwa naye kwenye kamati ya muda, yeye akiwa mkiti wa kamati hiyo..............the girl is very smart upstairs...ila ni mbabe wa mawazo, ya kwake ukitaka kuyapinga utafanya kazi ya ziada.

And she is beautful too.....ila ajitahidi kupiga menu a.k.a madikodiko, coz she is too skiny to me........
 
Ila huyu mmama 24hrs yupo twitter sijui anamuda kwa kuwa makini bungeni

Kwani tweets zinachangiaje yeye kutokuwa makini? What if huko ana tweet hoja hizo hizo za bungeni? Some of talented people (especially wanawake) they can perform multiple roles na bado wakawa efficient!

Sarungi alipata mabinti wenye akili, well mannered na wanaopenda utaifa wao. Both Maria and Veronica wali perform wonders na pamoja na quality zao hizo bado ni humbled beings......

Keep it up Maria ijenge nchi yako ukiwa mzalendo will have nothing to loose zaidi ya huu umasikini na impotent leaders yote haya yana tegemea uwepo wa katiba bora!
 
ni wale wale tu type ya kina zitto na kina jmakamba hana mpya....
 
Back
Top Bottom