Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

nimemuona mara nyingi kidogo through media sikujua kama ni binti wa prof.sarungi ok namtakia mafanikio katika maisha yake.
 
Ni mzima upstairs kwa kweli ila imenikera kama ana mpango wa kugombea ubunge kwa chama cha wezi wa simu!!hana maana.
 
Ila huyu mmama 24hrs yupo twitter sijui anamuda kwa kuwa makini bungeni

Hahaha,

Umeona eeh?

Wengine wanabofya kwenye simu mpaka chooni hawa, wana wireless wearables mpaka kwenye meno zinawaambia muda wa kupiga mswaki.

Kama communication ndiyo fani yake sawa tu, pengine anatafuta habari za research ya Ph.D aziongeze kwenye kapu la familia.
 
Kama kila mtu anataka ubunge mbona hii nchi ngumu. Inabidi wengine wabaki site.
 
Katika wanawake niliowahi kujadiliana nao mambo kuhusu nchi na watu wake, basi Maria ni sehemu yake, ni mmoja wa mabinti wenye akili sana, unatakiwa kuwa makini sana unapojadiliana nae jambo,

Ni mzuri wa mijadala ya kisiasa zaidi, japokuwa binadamu hakosi kasoro, Maria nae anakasoro zake, yeye akiamini chanya ni mgumu sana kumbadilisha aamini hasi.

Lakini ni msifu zaidi kwakuwa mwanamke wa kiswahili aliyesoma/anaesoma vitabu na machapisho mengi yanayochangia kumpa ujuzi na ujasiri wa ujenzi wa hoja,
 
Hahaha,

Umeona eeh?

Wengine wanabofya kwenye simu mpaka chooni hawa, wana wireless wearables mpaka kwenye meno zinawaambia muda wa kupiga mswaki.

Kama communication ndiyo fani yake sawa tu, pengine anatafuta habari za research ya Ph.D aziongeze kwenye kapu la familia.

Haa labda maana tweeter kila dk utaona tweet zake bunge likiendelea huku akiendeleza mijadala ya twitter muda wa bunge mpaka wana TOT wanamuita muwakilishi wa Tanzania on Twitter bunge la katiba. Any way yuko vizuri anatupa updates za mjengoni hata bunge lisipokuwa live, always yupo twitter bigwigs wenzake akina Makamba,JerrySilaa,Tonytogolani na ZZK.
 
Ni kweli, alimaliza A-level PCM akiwa na points 3!!
aliyesoma PCM ni dada yake Veronika, na alisoma jangwani. Maria kasoma form 1-6 Zanaki. Japo alipata Dv I form 4, ali-opt kusoma KLF akiwa na ndoto ya kuwa mwandishi wa habari.
 
Huyu mama yake anatoka ile Nchi ya wamwagia tindikali yaani Russia . Ila kwa kuongea nadhani binti huyu kaongea vyema tu na ni kweli CCM are getting hard time .

nafikir ni Ukraine sio Russia. coz dingi yake walisoma na ma dingi huko na wakaja na wake wazungu wote
 
Alaaa

kumbe mama yake mzungu? nilidhani mwarabu.....au mhindi.....mama yake Mzungu wa wapi?

je ni cabinet material kwa mnaosema atachukua jimbo 2015?

Mama yake Maria Sarungi ni Mrusi. Nilikuwa sijagundua huyu dada ni kichwa ile mbaya. Hakuna cha Prof Anna Tibaijuka au Celine Kombani. She is really good. Huyu Tibaijuka pamoja na uprof wake anaongea siasa na kuwafool kwa sababu ya exposure yake.
 
Katika wanawake niliowahi kujadiliana nao mambo kuhusu nchi na watu wake, basi Maria ni sehemu yake, ni mmoja wa mabinti wenye akili sana, unatakiwa kuwa makini sana unapojadiliana nae jambo,

Ni mzuri wa mijadala ya kisiasa zaidi, japokuwa binadamu hakosi kasoro, Maria nae anakasoro zake, yeye akiamini chanya ni mgumu sana kumbadilisha aamini hasi.

Lakini ni msifu zaidi kwakuwa mwanamke wa kiswahili aliyesoma/anaesoma vitabu na machapisho mengi yanayochangia kumpa ujuzi na ujasiri wa ujenzi wa hoja,

broda hawa wanawake wanaozaliwa mixer hasa ukute mama yake ndio mzungu baba ni black. huwa wanaamin sana kile anachoamin huwez kumbadilisha.
 
Haa labda maana tweeter kila dk utaona tweet zake bunge likiendelea huku akiendeleza mijadala ya twitter muda wa bunge mpaka wana TOT wanamuita muwakilishi wa Tanzania on Twitter bunge la katiba. Any way yuko vizuri anatupa updates za mjengoni hata bunge lisipokuwa live, always yupo twitter bigwigs wenzake akina Makamba,JerrySilaa,Tonytogolani na ZZK.

Hahaaa,

Eti muwakilishi wa Tanzania Twitter.

That's some distinction right there.

Prof. Sarungi aliturusha sana Muhimbili. Ila mzee yule msahaulifu kichizi, kila kitu shurti aandike, asipoandika hata majina ya watu kukumbuka tabu ilikuwa.
 
Back
Top Bottom