Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara mama mrusi....sasa tuamini yupi..?
Ila huyu mmama 24hrs yupo twitter sijui anamuda kwa kuwa makini bungeni
Mnadhani wajaluo sio wazuri??? Hahahaaaa....
Mnadhani wajaluo sio wazuri??? Hahahaaaa....
ila huyu mmama 24hrs yupo twitter sijui anamuda kwa kuwa makini bungeni
Aliwahi kuwa head girl Zanaki secondary school miaka hiyo ya early 90s alikuwa mzuri kichwani.
Hahaha,
Umeona eeh?
Wengine wanabofya kwenye simu mpaka chooni hawa, wana wireless wearables mpaka kwenye meno zinawaambia muda wa kupiga mswaki.
Kama communication ndiyo fani yake sawa tu, pengine anatafuta habari za research ya Ph.D aziongeze kwenye kapu la familia.
aliyesoma PCM ni dada yake Veronika, na alisoma jangwani. Maria kasoma form 1-6 Zanaki. Japo alipata Dv I form 4, ali-opt kusoma KLF akiwa na ndoto ya kuwa mwandishi wa habari.Ni kweli, alimaliza A-level PCM akiwa na points 3!!
Huyu mama yake anatoka ile Nchi ya wamwagia tindikali yaani Russia . Ila kwa kuongea nadhani binti huyu kaongea vyema tu na ni kweli CCM are getting hard time .
Alaaa
kumbe mama yake mzungu? nilidhani mwarabu.....au mhindi.....mama yake Mzungu wa wapi?
je ni cabinet material kwa mnaosema atachukua jimbo 2015?
Katika wanawake niliowahi kujadiliana nao mambo kuhusu nchi na watu wake, basi Maria ni sehemu yake, ni mmoja wa mabinti wenye akili sana, unatakiwa kuwa makini sana unapojadiliana nae jambo,
Ni mzuri wa mijadala ya kisiasa zaidi, japokuwa binadamu hakosi kasoro, Maria nae anakasoro zake, yeye akiamini chanya ni mgumu sana kumbadilisha aamini hasi.
Lakini ni msifu zaidi kwakuwa mwanamke wa kiswahili aliyesoma/anaesoma vitabu na machapisho mengi yanayochangia kumpa ujuzi na ujasiri wa ujenzi wa hoja,
ni wale wale tu type ya kina zitto na kina jmakamba hana mpya....
Haa labda maana tweeter kila dk utaona tweet zake bunge likiendelea huku akiendeleza mijadala ya twitter muda wa bunge mpaka wana TOT wanamuita muwakilishi wa Tanzania on Twitter bunge la katiba. Any way yuko vizuri anatupa updates za mjengoni hata bunge lisipokuwa live, always yupo twitter bigwigs wenzake akina Makamba,JerrySilaa,Tonytogolani na ZZK.