the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Wakuu wakati mkutano mkuu wa Bavicha ukiendelea leo, mjumbe mmoja aeleza kwa masikitiko kuwa hawajalipwa pesa za kujikimu walizohaidiwa.
"Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo hatujapewa, mnawezaje mkaipinga rushwa ilhali mnaitengeneza?" - Mjumbe wa mkutano mkuu Bavicha
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo hatujapewa, mnawezaje mkaipinga rushwa ilhali mnaitengeneza?" - Mjumbe wa mkutano mkuu Bavicha