Pre GE2025 Mjumbe wa mkutano mkuu BAVICHA alilia posho ya kujikimu, 'tuliambiwa tutalipwa ila hadi sasa bado, kwa hali hii tunaweza kuepuka rushwa?'

Pre GE2025 Mjumbe wa mkutano mkuu BAVICHA alilia posho ya kujikimu, 'tuliambiwa tutalipwa ila hadi sasa bado, kwa hali hii tunaweza kuepuka rushwa?'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo ruzuku itafanya mambo mangapi? Tusiwe wepesi kutaja tu ruzuku, namba huwa hazidanganyi. Haya yote alishayaona Mbowe, akaongoza maamuzi yakafikiwa kuwa Kamati Kuu wafanye fund raising, wakagawana viwango. Kuna baadhi wamekuwa wanapinga uamuzi wa kugawana viwango vya kukusanya fedha kwa madai kwamba baadhi ya wanakamati pia ni wagombea, hivyo itaonekana kama wanatoa rushwa. Kuna mazingira inabidi tuyakubali. Mimi nadhani maamuzi ya Mwenyekiti kuwa wagawane fedha za kukusanya yalikuwa sahihi
Chama kililipwa malimbikizi ya ruzuku wakayagawana hapo makao makuu na kuanzisha operation isiyo na tija kwa chopa ili wayatafune, kwani hawakujua kuwa kuna chaguzi?
Sekretarieti ya chama makao makuu imejaa wapiga hela na yapaswa kusafishwa, sasa inahaha kumpigania Mbowe ili waendeleze ufisadi wao tu
 
Bila shaka ulimaanisha Kamati Kuu, maana kwa muundo wa chama, sekretarieti haina udhibiti huo wa fedha. Bahati mbaya katika Kamati Kuu unayotaka isafishwe, karibu wagombea wote ni wale wale wanaoiunda, kwa hiyo watarudi, labda mchague akina Odero
 
Huamini, lakini CAG anaiamini na anatoa hati safi kila mwaka
CAG hukagua mapato na matumizi ya fedha na rasirimali nyingine za chama bila ya kujali mifumo ya kuzikusanya rasirimali husika kama ni mizuri ama mibovu.

Fedha zikusanywe na chama na siyo kibinafsi na wanachama.
 
Tukisema chama kimejaa matapeli wanasema tunakichafua. Sasa chama kina ruzuku, join the chain etc kweli walishindwa kujipanga mwaka mzima kukamilisha mkutano wa siku moja?.

Huyo Moza Ally Mushi ni chawa wa Mbowe kwahiyo ni genge lile lile la wapigaji tu. Watupishe tukisafishe chama
CCM tena yale majizi yalijazana huko CHADEMA kwa muda mrefu sana
 
Sasa mpeni chama Lissu, mtalimia meno..ngojeeni kamanda Mbowe akafanye biashara atawapa hela za kujikimu🐼
 
Huk ndo uongozi mbovu wa mbowe mkutano ulijulikana miaka mitano kabla kwamba utakuapo inakuaje pesa haijakusanywa mpaka leo, anatengeneza tatizo Ali alitatue kwa kupiga pesa kupitia nimekopesha chama.
Mbowe atafute pesa, kuimba waimbe Lissu, hiyo unaona inaingia akilini?
 
Sasa kama chama tu kukiongoza wanashindwa ndio wataweza nchi?
Kwamba chadema inakusanya kodi na kununulia tshirt za chama pia magari ya chama na kujengea ofs zake kinyume cha sheria labda nikukumbushe tu ukumbi wa ccm dom wa jk ulijengwa kwa kuchota pesa za wastaafu pension zao sa kama ccm wanajchotea kodi za watz kugharamia mambo ya chama nje ya rudhuku ambayo ndiyo halali yao unadhan watapata shda na pesa kama chadema nikukumbushe tu ccm wamejimiliksha mali za umma kama viwanja vya mpira na majengo wakati si haki yao sjui kama unalijua hli wa jikundu la maccm
 
Naona mambo yameanza kuumana kwa wale waliokuwa wanabeza watu wanaojitolea raslimali fedha katika shughuli za chadema. Baadhi hata walibeza Mbowe kuchangia 250,000,000 mkutano mkuu wa chadema.

Bavicha tayari njaa inawauma huku baadhi yao wakiunga mkono mtu ambaye njaa imemchapa hana hata gari, na hajachangia mkutano mkuu shilingi 30,000,000 kusaidia gharama. Fanyeni kosa mumkabidhi champ ndio mtajua njaa haina rafiki
1736778152390.png
==

Mkutano wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) ulisimama kwa dakika kadhaa leo, Jumatatu Januari 13, 2025, baada ya wajumbe kuhoji hatma ya posho zao za kujikimu, tofauti na ahadi walizokuwa wamepewa awali.

Tukio hilo limetokea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya viongozi wa kitaifa kuondoka ukumbini.

Hali Ilivyoanza
Baada ya viongozi wa chama, wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti, Tundu Lissu, kuondoka, mwenyekiti wa kikao aliwataka wajumbe kuanza kupitia ajenda zilizopo. Hata hivyo, mmoja wa wajumbe alisimama na kuomba ufafanuzi kuhusu posho zao za kujikimu.

“Mwenyekiti, tangu jana tumekuja hapa lakini hadi sasa hatujui hatma ya posho zetu. Je, mnataka tule kwa wagombea? Tumelala kwa shida tukitegemea mambo yangekuwa safi leo,” amehoji mjumbe huyo.

Mwenyekiti wa kikao alijaribu kutuliza hali kwa kusema suala hilo litashughulikiwa baadaye, lakini wajumbe wengi walipinga, wakisisitiza suala hilo linapaswa kushughulikiwa mara moja.
 
Mkutano wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) ulisimama kwa dakika kadhaa leo, Jumatatu Januari 13, 2025, baada ya wajumbe kuhoji hatma ya posho zao za kujikimu, tofauti na ahadi walizokuwa wamepewa awali.

Tukio hilo limetokea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya viongozi wa kitaifa kuondoka ukumbini.
Kumekucha
Wataambiwa nani amewatuma kumshangilia Lissu
 
Huk ndo uongozi mbovu wa mbowe mkutano ulijulikana miaka mitano kabla kwamba utakuapo inakuaje pesa haijakusanywa mpaka leo, anatengeneza tatizo Ali alitatue kwa kupiga pesa kupitia nimekopesha chama.
Kazi ya makamu Mwenyekiti ni ipi uko Chadema?

Tuanze kukifuta hiki cheo kwanza maana sasa hata wasiokuwa na nguvu za kiume watamsingizia Mbowe.

Kamati kuu na secretariet ya Chadema wana kazi gani?
 
Chama kililipwa malimbikizi ya ruzuku wakayagawana hapo makao makuu na kuanzisha operation isiyo na tija kwa chopa ili wayatafune, kwani hawakujua kuwa kuna chaguzi?
Sekretarieti ya chama makao makuu imejaa wapiga hela na yapaswa kusafishwa, sasa inahaha kumpigania Mbowe ili waendeleze ufisadi wao tu
Halmashauri tajiri Tanzania nzima Ilala jiji iliwalipa posho watendaji mitaa na kata wiki moja baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa nilikuwa pale Anatouglou.

Mnamsingizia kila baya Mbowe mazuri bakini nayo lakini wapenda haki tunawachora tu Mbowe anawapiga saa mbili asubuhi.

Kura za Mbowe haziko mitandaoni au kwenye kujiteka kutafuta kick.
 
Back
Top Bottom