the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Huk ndo uongozi mbovu wa mbowe mkutano ulijulikana miaka mitano kabla kwamba utakuapo inakuaje pesa haijakusanywa mpaka leo, anatengeneza tatizo Ali alitatue kwa kupiga pesa kupitia nimekopesha chama.Wakuu wakati mkutano mkuu wa Bavicha ukiendelea leo, mjumbe mmoja aeleza kwa masikitiko kuwa hawajalipwa pesa za kujikimu walizohaidiwa.
"Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo hatujapewa, mnawezaje mkaipinga rushwa ilhali mnaitengeneza?" - Mjumbe wa mkutano mkuu Bavicha
View attachment 3200794
Hiyo ruzuku itafanya mambo mangapi? Tusiwe wepesi kutaja tu ruzuku, namba huwa hazidanganyi. Haya yote alishayaona Mbowe, akaongoza maamuzi yakafikiwa kuwa Kamati Kuu wafanye fund raising, wakagawana viwango. Kuna baadhi wamekuwa wanapinga uamuzi wa kugawana viwango vya kukusanya fedha kwa madai kwamba baadhi ya wanakamati pia ni wagombea, hivyo itaonekana kama wanatoa rushwa. Kuna mazingira inabidi tuyakubali. Mimi nadhani maamuzi ya Mwenyekiti kuwa wagawane fedha za kukusanya yalikuwa sahihiNi point sn kweli walipwe, chama kina ruzuku n.k
Wewe Wala hujui tofauti kati ya Serikali na CHADEMA?Sasa kama chama tu kukiongoza wanashindwa ndio wataweza nchi?
Hapo yanatengenezwa mazingira ya rushwa maana mtu amekaa siku mbili hajala na kulala vizuri ni rahisi sana kughilibiwa,hiyo haikutokea kwa bahati mbaya. Mbinu sa kiccm hizo,tengeneza tatizo kisha litatue upate credit.Ni point sn kweli walipwe, chama kina ruzuku n.k
Chadema inatia AIBU sanaNi point sn kweli walipwe, chama kina ruzuku n.k
Hiyo ruzuku itafanya mambo mangapi? Tusiwe wepesi kutaja tu ruzuku, namba huwa hazidanganyi. Haya yote alishayaona Mbowe, akaongoza maamuzi yakafikiwa kuwa Kamati Kuu wafanye fund raising, wakagawana viwango. Kuna baadhi wamekuwa wanapinga uamuzi wa kugawana viwango vya kukusanya fedha kwa madai kwamba baadhi ya wanakamati pia ni wagombea, hivyo itaonekana kama wanatoa rushwa. Kuna mazingira inabidi tuyakubali. Mimi nadhani maamuzi ya Mwenyekiti kuwa wagawane fedha za kukusanya yalikuwa sahihi
Wakuu wakati mkutano mkuu wa Bavicha ukiendelea leo, mjumbe mmoja aeleza kwa masikitiko kuwa hawajalipwa pesa za kujikimu walizohaidiwa.
"Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo hatujapewa, mnawezaje mkaipinga rushwa ilhali mnaitengeneza?" - Mjumbe wa mkutano mkuu Bavicha
View attachment 3200794Pumbavu tuu ndio atawasikiliza kina Lisu,Heche na wengineo ambao wanakuka hela za kamati kuu ila hawataki wengine wale ๐๐
Na ndiyo maana tunataka mabadiliko kuondokana na aibu hii. Mbowe must go.Chadema inatia AIBU sana
Chama Cha Tajiri vijana wa Bavicha wamelala mitaroni ๐ผ
Sasa nani anataka njaa?Wakuu wakati mkutano mkuu wa Bavicha ukiendelea leo, mjumbe mmoja aeleza kwa masikitiko kuwa hawajalipwa pesa za kujikimu walizohaidiwa.
"Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo hatujapewa, mnawezaje mkaipinga rushwa ilhali mnaitengeneza?" - Mjumbe wa mkutano mkuu Bavicha
View attachment 3200794
Siyo maamuzi sahihi hata kidogo, 2010-2020 CHADEMA ilikuwa na wabunge wengi sn + Ruzuku kumbwa, ilishindwa nini kutengeneza vitega uchumi kama kumbi/hoteli/hostel n.k?Hiyo ruzuku itafanya mambo mangapi? Tusiwe wepesi kutaja tu ruzuku, namba huwa hazidanganyi. Haya yote alishayaona Mbowe, akaongoza maamuzi yakafikiwa kuwa Kamati Kuu wafanye fund raising, wakagawana viwango. Kuna baadhi wamekuwa wanapinga uamuzi wa kugawana viwango vya kukusanya fedha kwa madai kwamba baadhi ya wanakamati pia ni wagombea, hivyo itaonekana kama wanatoa rushwa. Kuna mazingira inabidi tuyakubali. Mimi nadhani maamuzi ya Mwenyekiti kuwa wagawane fedha za kukusanya yalikuwa sahihi
Yaani hata wangejenga hoteli za chama na kumbi kwa ruzuku ya 2010-2020 wangekuwa na vitenga uchumi kibao hata mashamba ya chama, CCM mpk wa mashamba,viwanja, ofisi, shule n.kChadema inatia AIBU sana
Chama Cha Tajiri vijana wa Bavicha wamelala mitaroni ๐ผ
CHADEMA now kuna rushwa haswa tena za kijingaHapo yanatengenezwa mazingira ya rushwa maana mtu amekaa siku mbili hajala na kulala vizuri ni rahisi sana kughilibiwa,hiyo haikutokea kwa bahati mbaya. Mbinu sa kiccm hizo,tengeneza tatizo kisha litatue upate credit.
Kwa hiyo unazungumzia 2020. Sasa hivi ni 2025Siyo maamuzi sahihi hata kidogo, 2010-2020 CHADEMA ilikuwa na wabunge wengi sn + Ruzuku kumbwa, ilishindwa nini kutengeneza vitega uchumi kama kumbi/hoteli/hostel n.k?