Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Mjumbe kutoka nchini Thailand, anayeshiriki katika Mkutano wa Kimataifa unaoendelea jijini Arusha, Chatcha Pooluea ameipongeza Tanzania kwa mapokezi mazuri na ukarimu alioupata tangu alipowasili nchini ambapo amesema Tanzania ni nchi ya kwanza katika bara la Afrika kuitembelea, akieleza kufurahishwa na mazingira, chakula pamoja na namna Watanzania walivyompokea kwa uchangamfu na kumsaidia katika kipindi chake cha kwanza nchini.
Amesema kupitia Mkutano wa Jukwaa la wanawake Wabunge alioshiriki umempa fursa ya kushuhudia nguvu ya wanawake kutoka mataifa mbalimbali wanapokutana kujadili changamoto, uzoefu na namna ya kuimarisha uwezeshaji wa wanawake.