Mjuumbe wa usimamizi na uwendeshwaji wa ligi amejiuzulu

Mjuumbe wa usimamizi na uwendeshwaji wa ligi amejiuzulu

Yanga hawana lolote,wamebaki kulalamika na kucheza mpira nje ya uwanja.
Mbinu za kitoto!
Msipoangalia mtapigwa sana kwa kuwa wachezaji wenu mmewaharibu kisaikolojia kwa maneno yenu.Mnawadanganya wanaonewa,kiasi kwamba hata walivyojifunga goli bado wanaona walionewa!
Chezeni mpira nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lenu nyinyi yanga Malinzi aliwabeba sana ndomana saiv pekee enu hamwezi

Embu kumbukeni lile goal alilo funga Tambwe la mkono mbona hamkuwaambia Tff walifute mlikaa kimya saiv ndo mnajifanya mnajua haki

Au kama una kumbukumbu tazama mechi ya mzunguko wa kwanza msimu wa 2016/17 goal halali la Ajibu lakini refa hakufungiw,vilevile kuna uhuni mwingi sana yanga wanafanya Tff inawanyamazia tu.

Kwakuwashauri tu ubovu wa Yanga upo kwa viongozi wenu wamekosa ubunifu wamejaa kulalamika ,wao kila siku ni lawama tu, wala hawafikirii maendeleo.
Tambwe alifunga kwa mguu...ila Madaraka Selemani ndio alifungaga kwa mkono na maisha yaliendelea
 
Back
Top Bottom