Tatizo lenu nyinyi yanga Malinzi aliwabeba sana ndomana saiv pekee enu hamwezi
Embu kumbukeni lile goal alilo funga Tambwe la mkono mbona hamkuwaambia Tff walifute mlikaa kimya saiv ndo mnajifanya mnajua haki
Au kama una kumbukumbu tazama mechi ya mzunguko wa kwanza msimu wa 2016/17 goal halali la Ajibu lakini refa hakufungiw,vilevile kuna uhuni mwingi sana yanga wanafanya Tff inawanyamazia tu.
Kwakuwashauri tu ubovu wa Yanga upo kwa viongozi wenu wamekosa ubunifu wamejaa kulalamika ,wao kila siku ni lawama tu, wala hawafikirii maendeleo.