Ndio game gani hilo?hahaha classic games, nani kacheza kontra humu?
Pitia post no 17Naomba kuijua njia fupi
vipi uliweza mkuu+Ngoja nikaribu nione
Hamna gemu nisilo lipenda kama GTA kuanzia sun andreas ,Vice city na magemu mengine yanayofanana na hayoGRAND THEFT AUTO(GTA) ndio magemu nayopendeleaga kucheza tu zaidi ya hapo hakuna.
mbona lakawaida tu lile mkuu nilkuwaga nimezoea kulicheza kwenye TV kuanzia mwanzo hadi mwisho tena yule jamaa akiwa mmoja tu.hahaha classic games, nani kacheza kontra humu?
GRAND THEFT AUTO(GTA) ndio magemu nayopendeleaga kucheza tu zaidi ya hapo hakuna.
ngoja nilitafute hilo gemu ulilolitaja hapo juu la MK 4 niliangalie kama liko fresh coz nilikuwa bado nacheza GTA 5 bado.Hamna gemu nisilo lipenda kama GTA kuanzia sun andreas ,Vice city na magemu mengine yanayofanana na hayo
Sijui IGI walaaaa
Ukitoa mk4 labda Tekken ,The house of the dead
Mkuu HR 666 ! Nilikua Tait mbaya ,ila nitaona leo nikifanikiwa kucheza nitakujulisha mkuu!vipi uliweza mkuu+
natamanani sana gta5, kwa sasa pc yangu haiwezi kulichezaGRAND THEFT AUTO(GTA) ndio magemu nayopendeleaga kucheza tu zaidi ya hapo hakuna.
aisee kama ukilielewa kulicheza misssion zake utalipenda sanaHamna gemu nisilo lipenda kama GTA kuanzia sun andreas ,Vice city na magemu mengine yanayofanana na hayo
Sijui IGI walaaaa
Ukitoa mk4 labda Tekken ,The house of the dead
halafu kwasasa wanaandaa GTA 6 nafikili kama sio mwakani basi 2018 wataliachia litakuwa na maeneo baadhi tu ya marekaninatamanani sana gta5, kwa sasa pc yangu haiwezi kulicheza
Hahaha long tym sana super kontrahahaha classic games, nani kacheza kontra humu?
Kuna mzigo Call of duty Black ops III hatareeee!!!GRAND THEFT AUTO(GTA) ndio magemu nayopendeleaga kucheza tu zaidi ya hapo hakuna.
Kuna mzigo Call of duty Black ops III hatareeee!!!