MK 4 ndio gemu la karne ,hakuna Arcade game linalozidi kwa ubora

GRAND THEFT AUTO(GTA) ndio magemu nayopendeleaga kucheza tu zaidi ya hapo hakuna.
 
Hamna gemu nisilo lipenda kama GTA kuanzia sun andreas ,Vice city na magemu mengine yanayofanana na hayo

Sijui IGI walaaaa

Ukitoa mk4 labda Tekken ,The house of the dead
 
hahaha classic games, nani kacheza kontra humu?
mbona lakawaida tu lile mkuu nilkuwaga nimezoea kulicheza kwenye TV kuanzia mwanzo hadi mwisho tena yule jamaa akiwa mmoja tu.
 
GRAND THEFT AUTO(GTA) ndio magemu nayopendeleaga kucheza tu zaidi ya hapo hakuna.
Screenshot_2017-03-01-17-45-47_1.jpg

Mkuu itafute hii game inaitwa the house of the dead 1 ni moto wa kuotea mbali
 
Hamna gemu nisilo lipenda kama GTA kuanzia sun andreas ,Vice city na magemu mengine yanayofanana na hayo

Sijui IGI walaaaa

Ukitoa mk4 labda Tekken ,The house of the dead
ngoja nilitafute hilo gemu ulilolitaja hapo juu la MK 4 niliangalie kama liko fresh coz nilikuwa bado nacheza GTA 5 bado.
 
Back
Top Bottom