Mk-ultra: Mkakati wa uchunguzi wa CIA na kifo cha John Lenon (Mwanamuziki kikundi cha The Beatles)

anonymousafrica

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
611
Reaction score
640
KIFO CHA JOHN LENON 8 December 1980

p.jpg

Watu waliotumika kufanya mauwaji ya watu wakubwa , wengi wao ukiwafuatilia wanakua walipata mafunzo ya kijeshi. Au mafunzo na kufanyiwa unyama huu wa Mk-ultra. Kama umetazama movie za James Bond au Jason Bourne USIDHANI yameisha kwenye movie tu, haya mambo yapo. Mtu anatekeleza mauaji kwa kutumwa na hata jina lake halijui (yeye mwenyewe hajijui jina). Anaishi kama robot na amesahau kila kitu. Anaweza kukuua nayeye kujiua au kuuawa baada ya muda Fulani. Hawa watu hufanya walichotumwa, na huwa hawafanyi makosa.

img.jpg

Kunataarifa zinasema,aliyekuwa Mwanamziki mashuhuri wa kundi la the beatles “John Lennon” aliuawa na C.I.A baada ya kuonekana ana itikadi za kikomunist na harakati zake za siasa.

John Potash mwandishi wa Drugs as Weapons Against Us, anasema: Lennon alikua anafuatiliwa muda mrefu na C.I.A kwasababu ya harakati zake.

Taarifa za siri zinasema, Lennon alianza kufuatiliwa toka miaka ya 1970 baada ya kujitangaza ameachana na madawa ya kulevya, na kuanza kutoa elimu juu ya athari ya dawa hizi. Kumbuka C.I.A ndio walihusika kutangaza madawa kwa mikakati yao ambayo utaiona hapo mbele. Hivyo wakamwona Lennon ni tishio.

s.jpg

Album ya Lennon Some Time in New York City ni album iliyojaa siasa na harakati aliimba kuhusu Black Panthers, haki za wanawake na haki za waingereza wenye asili ya marekani. Lennon aliuawa mwezi mmoja baada ya kua raia kamili wa Marekani.

Kitendo cha Lennon kuachana na dawa za kulevya kiliwakera sana C.I.A (utadhani kama natania vile)

Mwandishi Phil Strongman, kwenye kitabu chake cha John Lennon: Life, Times and Assassination, ANASEMA Chapman (MUUWAJI WA LENNON) Alishikwa akili yake (MK-ULTRA) Ili amuue John Lennon. Utajionea pia kuhusu Mk-Ultra.

Watu walihoji kwanini CHAPMAN anaonekana kama roboti?

mark-chapman-john-lennon.jpg

Katika mazungumzo na mwandishi Bresler,Afande kutoka New York Arthur O’Connor alisema, hivyo ndivyo anavyoongea na ndivyo alivyozaliwa.

Hapo ni miaka ya 1980 na inasemekana mkakati wa Mk-Ultra ulishapigwa marufuku toka 1973, je ni kweli?????? Me ngoja niishie hapa kwa Lennon, Twende kwenye unyama huku

Mk-ultra
Screen-Shot-2018-05-22-at-9.17.41-AM-768x457.png

Mkakati haram ulioandaliwa na shirika la C.I.A kwa dhumuni la kupata taarifa za siri za binadam kwa kuishika akili yake. Kushika akili namaanisha kufanya kitu au kuongea kitu bila kudhamiria. Sawa na mtu aliyetumia vilevi na ubongo wake kuhama kimawazo. Mtu kama huyu ukimpatia bunduki ajiue ni dakika moja tu anamaliza kazi. Utaona kama movie vile, ila hii kitu ni kweli na inasadikika njia hii inatumika mpaka sasa, japo walikiri kuisha kutumika miaka ya 1973.

projeto-mk-ultra-cia-controle-da-mente-14112018185431028.jpeg

Kwa maelezo ni kwamba,Mwaka 1953 Allan Dulles,mkurugenzi wa C.I.A aliidhinisha mkakati huu Kufanyika toka miaka hiyo mpaka miaka ya 1970, hapa siri ndipo zilipovuja. Kama unakumbuka miaka hii mambo hayakua mazuri kidogo kwenye uongozi wa marekani na mashirika yake ya usalama.

Lengo la kuanzisha Mk-ultra ilikua ni kupambana na maadui ya kisovieti, yani wale woooote walioonekana kuwa na akili ya kikomyunist. Hivyo walitaka kutumia mpango huu kuwatambua maadui na wapelelezi wa kikomyunist. Tambua marekani iliogopa watu wenye akili ya kijamaa kuliko inavyoogopa korea kwa sasa. Urusi na china wamewatesa sana Marekani.

_82978657_82978656.jpg

Marekani waliamini wanajeshi kama kamikaze kutoka Japan na wanajeshi wa NAZI hawakua na akili ya kawaida. Walikua watiifu na hata ukiwaambia wajilipue ni sekunde tu wanafanya hivyo. Hivyo waliamini ile ni mind control kwasababu hata wafungwa wa kivita wa Marekani, walirudi nyumbani wakiwa akili zao zipo tofauti kidogo, wanaamini nao walifanyiwa hiki kitu huko Urusi, china, korea ya kaskazini na kambi ya Dachau concentration camp iliyopo ujerumani kwa nyakati tofauti tofauti.

Na wao wakatafuta njia ya kushika akili za watu. Ila njia yao ilikua ya moto kidogo

Mk-Ultra ilifanyika kwa njia mbalimbali ikiwemo… kutumia madawa makali ya kulevya kama ilivyo LSD, Hii dawa ukimeza inakufanya uwe mwepesi kufanya unachoambiwa kukifanya, pia inakufanya uone mawenge na hudumu mwilini kwa saa 12 Kama itatumika kawaida.

largepreview.png

Dawa za kulevya zilifanyiwa majaribio hasa kwa wanawake wanaojiuza, na watu wa mitaani. Walifungiwa nyumba moja (nyumba zilizomilikiwa na C.I.A) WANAWAPA MADAWA na kutega camera ili kuona matukio yalivyokua yakifanyika humo ndani. Zile dawa zilikua zinawarusha akili. Mpaka sasa dawa hizi zinatumika.

Kando na dawa za kulevya, tiba ya electroshock na hypnosis pia zilitumika kuwapa watu hofu, wasiwasi na hata kufuta kumbukumbu. Walitumia "mbinu ambazo zitakandamiza akili ya mwanadamu hadi ikakubali chochote".

Wakidhamiria usahau kila kitu, ndani ya mwezi mmoja utafundishwa hadi kuvaa nguo na viatu. Utakua umesahau kila kitu. Na utakua umesema kila kitu.
92746.jpg

Electroshock hii ni shoti ambayo inapigwa kichwani kwa lengo la kucheza na sehemu za ubongo. Huwa inatumika zaidi kwa wagonjwa wa akili. Wao walifanya kwa watu wazima kwaajili ya kupata wanachohitaji.

Majaribio kabla hawajaanza kutumia njia hizi haram yalifanyika kwenye kambi za siri mno. Ilihusisha majaribio kwa binadamu zaidi ya 150, HAWA NDIO WALIOFAHAMIKA, kwasababu data nyingi zinazohusu Mk-ultra zilifutwa kwaajili ya kupoteza ushahidi. Walikua wanawajaribu hasa vyuoni, hospitali na jela (jamani jela kuna mambo, kila baya linaenda huko)

Wanafunzi walidhani wanafanya utafiti na kujikuta wamefanyiwa wao utafiti bila kujua.

154a0-mk-ultra.jpg
 
Anony...
Inasikitisha sana.

John Lennon alikaa miaka mitano haonekani na alipojitokeza sikumbi ni gazeti lipi katika haya mawili Newsweek na Time walitoa picha yake kwenye cover na ndani kujlikuwa na mahajino na yeye.

Nakumbuka John Lennon alipoulizwa kwa nina alikuwa ''underground,'' alijibu kuwa alitaka kuishi kama binadamu wengine aweze hata kula kukosha kikombe chake mwenyewe alichonywea kahawa.

Nina umri wa kiasi miaka 15 nikiwapenda sana Beatles na nikipiga baadhi ya nyimbo zao kwenye guitar langu aina ya Hoffner.

Nyimbo nilizokuwa nikizipenda ni ''Yesterday,'' 'Girl,'' ''If I Have to Go,'' kuzitaja chache.
Hii ilikuwa miaka ya 1960 - ''The Roaring 60s.''

Tulikuwa vijana na ujana ni wendawazimu.

Nilipofika New York nilikwenda Central Park ambako mkewe Lennon, Yoko Ono amejenga kumbukumbu ya mumewe.
 
Attachments

  • JOHN LENNON MEMORIAL.jpg
    JOHN LENNON MEMORIAL.jpg
    22.1 KB · Views: 10
  • JOHN LENNON'S APARTMENT BUILDING.JPG
    JOHN LENNON'S APARTMENT BUILDING.JPG
    43.3 KB · Views: 8
Anony...
Inasikitisha sana.

John Lennon alikaa miaka mitano haonekani na alipojitokeza sikumbi ni gazeti lipi katika haya mawili Newsweek na Time walitoa picha yake kwenye cover na ndani kujlikuwa na mahajino na yeye.

Nakumbuka John Lennon alipoulizwa kwa nina alikuwa ''underground,'' alijibu kuwa alitaka kuishi kama binadamu wengine aweze hata kula kukosha kikombe chake mwenyewe alichonywea kahawa.

Nina umri wa kiasi miaka 15 nikiwapenda sana Beatles na nikipiga baadhi ya nyimbo zao kwenye guitar langu aina ya Hoffner.

Nyimbo nilizokuwa nikizipenda ni ''Yesterday,'' 'Girl,'' ''If I Have to Go,'' kuzitaja chache.
Hii ilikuwa miaka ya 1960 - ''The Roaring 60s.''

Tulikuwa vijana na ujana ni wendawazimu.

Nilipofika New York nilikwenda Central Park ambako mkewe Lennon, Yoko Ono amejenga kumbukumbu ya mumewe.
duuuh uncle
umefanya kitu kikubwa ambacho sikutegemea kama baada ya andiko hili ningempata mtu kama wewe.

We ni shabiki number moja we Lennon na beatles kuliko hata mimi. Hongera sana.

Ni kawaida kwa fikra huru kuzimwa na kuacha wajinga kupata nafasi. Lennon angeishi angezaa wengi wenye akili kama yeye. Natamani nikutafute [emoji4]

F giver
 
Anony...
Inasikitisha sana.

John Lennon alikaa miaka mitano haonekani na alipojitokeza sikumbi ni gazeti lipi katika haya mawili Newsweek na Time walitoa picha yake kwenye cover na ndani kujlikuwa na mahajino na yeye.

Nakumbuka John Lennon alipoulizwa kwa nina alikuwa ''underground,'' alijibu kuwa alitaka kuishi kama binadamu wengine aweze hata kula kukosha kikombe chake mwenyewe alichonywea kahawa.

Nina umri wa kiasi miaka 15 nikiwapenda sana Beatles na nikipiga baadhi ya nyimbo zao kwenye guitar langu aina ya Hoffner.

Nyimbo nilizokuwa nikizipenda ni ''Yesterday,'' 'Girl,'' ''If I Have to Go,'' kuzitaja chache.
Hii ilikuwa miaka ya 1960 - ''The Roaring 60s.''

Tulikuwa vijana na ujana ni wendawazimu.

Nilipofika New York nilikwenda Central Park ambako mkewe Lennon, Yoko Ono amejenga kumbukumbu ya mumewe.
Newyork times ndo walikua wana tabia ya kumtoa mtu kwenye ukurasa wa mbele

kama ilivyokua kwa Richard Nixon wakati wa vuguvugu la watergate scandal

F giver
 
R.I.P John Lenon daaa huyu mwamba kifo chake kiliacha consipiracy theory's za kutosha
Kisa chake ni Kama Cha kupotea yule member wa kundi la Led zappelin!

John Lenon alikua na nyimbo zenye utata sana hasa nilisikiliza ile Imagine duuu alikua hatari sana!
 
aaah imagine inakuweka katikati ya dunia na walimwengu
yale ndo maisha sasa... imagine all the pple, livin life in peace hu uuuuh uuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii michezo ya Mind-Control ipo sana, kuna mashirika ya kijasusi kama C.I.A, MI6, MOSSAD na SVR yamefuka mbali sana kwenye suala zima la ujasusi. Huu ujasusi wa kudukua simu, kuteka watu na kung'oa kucha kwao ni vitu vya kizamani mno. Wakati Urusi ya Kisovieti imeanzisha shirika la kijasusi The Cheka, mkurugenzi wao wa kipindi hicho Myahudi Felix Dzerzhinsky alikuwa anatumia huu mchezo.

Inasemekana SLEEPING-DEPRIVATION ni moja ya mbinu ambayo humfanya mwanadamu apoteze mamlaka ya ubongo wake wa hiyari (Conscious Mind) na ubongo usiyo wa hiyari (Subconscious Mind) ndiyo unafanya kazi. Ubongo usiyo wa hiyari ndiyo unatunza kumbukumbu zako zote na ndiyo unatengeneza tabia zako (Characters) na lugha ya mwili (Body Language).

Akiyafahamu haya, Felix aliwaambia majasusi wake waanza kufanya mahojiano (Interrogations) usiku wa manane na watumie njia ya SLEEPING-DEPRIVATION ili kupata taarifa. Alifanikiwa kwa kiwango kikubwa mno katika hili. Hili lilitokea tena kule Ujerumani ya wanazi, ambapo inasemekana wenyewe walikuwa wanafanya majaribio ya kutengeneza The Superman ( Übermensch) hivyo walifanya haya majaribio ya kucheza na ubongo wa binadamu.

Kinachosikitisha sana sisi watanzania na dunia haya mambo ndiyo tumeanza kuyafahamu leo, lakini wana saikolojia kama Sigmund Freud waliaandikia haya mnamo karne za 19 na 20. Freud yeye akiwa ndiye The Father of Modern Psychology ameandika mambo ya ajabu mno na ya kuogopesha kuhusu ubongo wa mwanadamu na tabia zake. Sasa hawa wenzetu wameanza kucheza navyo hivi vitu miaka hiyo.

Jambo ambalo linaogopesha zaidi na nadhani wanadamu huwa tunalisahau ni kwamba wanazi hawakuishia kule The Nuremberg Tribunal ila walipelekwa Marekani na The Dulles Brothers. Wanasayansi wote wakubwa wa Ujerumani waliohusika na tafiti za ubongo wa binadamu, anga la juu, nyuklia, mwili wa binadamu na mambo ya kiroho walipelekwa Marekani kupitia The Operation Paper Clip na Urusi ya Kisovieti.

Tafiti nyingi za kisayansi za Ujerumani ya kinazi ndizo zilitumika kwa sana na pande mbili hasimu kupambana wakati wa vita baridi. Ukifuatilia vizuri Operation Mocking-Bird na kulinganisha alichokuwa anakisema Joseph Goebbels (Nazi Minister of Propaganda) utaona hakuna utofauti wowote ule. MK-ULTRA was the worse, maana inasemekana walianza na wanyama na baadae wakaja binadamu.

Mnazi Kurt Friedrich Plötner aliyekuwa mwanasayansi wa The SS ya Ujerumani aliajiriwa na CIA ya Marekani na akaendeleza biashara yake ya tafiti (Mind-Control) huku akiletewa binadamu ambao alikuwa anawafanyia hizi tafiti kama panya wa maabara. Wameanza miaka ya 1930's sijui leo hii 2021 watakuwa wamefika wapi, kuna mambo ukiyafikilia na kuyawaza kama una akili timamu ni lazima uyaogope sana mataifa kama Marekani, Urusi, uchina, Israeli na Uingereza.
Mataifa haya ni hatari sana kwa usalama wa dunia......

Hata maraisi wa Marekani waliodhani nchi yao ni dola takatifu baada ya kufahamu nini kinaendelea nyuma ya pazia na kwamba demokrasia ile ambayo wanaaminishwa kiuhalisia haipo waling'aka sana. Raisi Harry S. Truman kwenye baadhi ya Memoirs zake anakiri kabisa kwamba CIA aliyoianzisha imebadilika tofauti kabisa na matarajio yake na imekuwa ni taasisi ambayo ngazi zake za juu zimeshikiliwa na watoto wa familia kubwa za Marekani ambao wamesoma Harvard, Princeton, Oxford na Yale wakilinda maslahi mapana ya makundi husika.

Haikuishia hapo, Raisi Dwight Eisenhower anavyoondoka madarakani baada ya kufahamu kinachoendelea kule AREA 51 na sehemu nyingine alionya wamarekani na kuwaambia "Beware of the Military Industrial Complex".

Raisi John F.Kennedy baada ya kufahamu kwamba CIA ndiyo inaendesha nchi na siyo yeye alimfukuza kazi Allan Dulles lakini bahati mbaya bado akawa anaendelea kuendesha CIA kupitia mlango wa nyuma. Kennedy alipigiwa simu na Raisi wa Ufaransa Charles De Gaulle akiulizwa ni kwanini CIA inafanya operation dhidi ya Ufaransa, Kennedy akabaki anashangaa tu maana alikuwa hajuia chochote. Akaapa akisema "I splinter the CIA into 1000 pieces and scatter it into the wind" lakini CIA ndiyo ikaikata vipande 1000 familia ya Kennedy na kuitupa kwenye upepo.

Mind-Control is very real........
Truth-Serums are very real.........
Mass-Control of populations are very real.......(The color revolutions + Arab Spring+ Active Measures)

Tena siku hizi pamoja na huu utandawazi ndiyo balaa kabisa, wamefika hadi sebuleni kwako. Hivi hujiulizi kwanini Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa kutoa asilimia 60% ya huduma ya filamu za ngono na utupu mitandaoni ??? Tena nyingi ni bure kabisa. Jiulize ni watu wangapi tunaangalia hizo tovuti, unadhani wamezitoa bure tu kukufurahisha wewe ????

AU unadhani hizi filamu za Hollywood pamoja na miziki ambazo zimewatajirisha sana wahusika wake, unadhani lengo lake ni kukufurahisha wewe tu (Entertainment Purposes Only) na wao kupata faida za kiuchumi ????

Moja kati ya wasomi nguli kwenye karne yetu hii ya 21 ni Noam Chomsky (Among the most cited scholar) alisema haya "Democratic societies can't force people. Therefore they have to control what they think."

Siku hizi CIA hawafanyi kama ambavyo tunaaminishwa kuhusu MK-ULTRA ya zamani, au kama ambavyo George Orwell alisema kwenye kitabu chake 1984 kuhusu "The Thought Police". Ila siku hizi kinachofanyika ni kile ambacho Aldous Huxley alikiandika kwenye kitabu chake cha "A Brave New World" akisema kwamba moja ya njia ya kuongoza akili ya mtu ni kucheza na "Hedonistic Pleasures" zake.

Mfumo wa utandawazi na maisha yake ya leo hii ni njia tosha kabisa ya Mind-Control, ambayo ni silaha kubwa na yenye nguvu ya mataifa kama Marekani. Leo hii anaweza kusimama Biden akaongea kitu na vijana wa Hong-Kong wakaamua kuingia mtaani na kuanza kuchoma vitu. Unadhani hii ni kawaida ???? IT'S NOT NORMAL
 
Mass-Control of populations are very real.......(Refer the color revolutions + Arab Spring)

huuuuuuu
umeongea ukweli mtupu... kama haya yote yamepita kwenye mkono wako hongera mzee....

Kupitia utandawazi bas tunalishwa falsafa za wamarekani na nchi zingine zinazojifanya za kiliberali. Leo hii wanauliwa Raia Uganda... waafrika na majirani wakubwa kutoka Kenya na Tz tupo kimya

Ila akiuliwa Mmarekani.. hadi wasanii wanapost na kutamani maandamano
this is Mental illness... they dont use force nowadays-they poison us kiulaiiiini kabisa.

Inasemekana THE RAND CORPORATION, THE NATIONAL ENDOWMENT FOR DEMOCRACY na CIA walitengeneza mbinu maalumu inayoitwa THE SWARM ambapo wanafanya Psycho-analysis ya jamii husika kwa muda mrefu na kuangalia vitu ambavyo jamii fulani inavipenda na kuvichukia (Triggers), wakitumia mtandao na mbinu nyingine za siri wanatafuta Agent Provocateur analianzisha mwishowe inatokea The Color Revolution au The Arab Spring.

Kuna kitu kinatwa THE NATIONAL TEXTURE/NATIONAL HOMOGENEITY/CULTURAL TEXTURE ambacho hufanya watu wa tamaduni fulani hata kama wanatokea kwenye mataifa tofauti kufanana sana mfumo wa maisha. Mfano Kenya/Tanzania, Marekani/Uingereza, Ujerumani/Austria nk. Kiulinzi na kiusalama inaaminika kwamba kila nchi huwa na saikolojia yake (Mind/Heart of the society).

Mwanafalsafa wa Ujerumani wa karne ya 18 na 19 bwana Friedrich Carl Von Savigny aliliandikia hili akisema kwamba nchi na jamii huwa na roho yake. Yeye alikiita hichi kitu Volksgeist kwamba "The Spirit of the Nation". Kwenye lugha ya Kijerumani neno Volks linamaanisha "The People/The Folks" ndiyo maana lile gari Volkswagen maana yake ni A Peoples Car. Hivyo Volks ni watu na Geist ni roho.

Hizi falsafa zimepigwa kabisa marufuku kwenye nchi za Magharibi kwasababu inaaminika kwamba ndiyo chanzo kikubwa cha kuzaa falsafa za kifashisti na kinazi. Sasa tukirudi kwenye suala zima la MIND-CONTROL na hii Volksgeist, jambo zuri au baya likitokea kwenye nchi moja jirani ambayo ina CULTURAL TEXTURE sawa na nchi ya pili, basi hilo jambo laweza kusambaa na kuvuka mipaka hadi nchi ya pili.

Hebu jiulize kwanini The Arab Spring ilianzia Tunisia ikasambaa haraka Morocco, Egypt Libya hadi kufika Syria na Yemen kwa haraka vile halafu isifike nchi za kusini mwa jangwa la sahara ??? Jibu ni rahisi sana tu, hizi nchi zina CULTURAL TEXTURE zinazofanana sana. Wote ni Waarabu, Wote ni Waislamu, Wote wana lugha moja, Vyanzo vyao vya Uchumi vinafanana na mifumo yao ya siasa inafanana: UNAJIFUNZA NINI HAPA ??? (CHANGAMOTO ZAO ZA KISIASA NA KIUCHUMI ZINAFANANA)

Hivyo ukipata wataalamu wazuri ambao watalianzisha jambo kubwa kwenye nchi moja, basi asilimia 80% hicho kitu kinaweza kusambaa (SWARMING) hadi kuingia nchi nyingine japo siyo mara zote. Zingatia mifano halisi ifuatayo: Baada ya Kenya kupata Katiba mpya mwaka 2010, watanganyika nao wakaanza maneno ya kitaka Katiba mpya na haikuchukua muda msukumo ukawa mkubwa na mchakato wa Katiba Mpya ukaanza na mpaka leo hii upo. Hapa unajifunza nini ndugu yangu ????

Haya mwaka 1957 Ghana ilipata Uhuru wake, haikuchukua muda mrefu mwaka 1960 nchi nyingi za Africa zilianza kujipatia mamlaka ya ndani. Mwaka 1960 kihistoria huwa unaitwa THE YEAR OF AFRICA kwasababu nchi nyingi zilianza kudai uhuru baada ya kuona wenzao wamepata. Hii THE SWARM wengine huita THE DOMINO EFFECT or CHAIN REACTION.

STILL NOT CONVINCED ????

Wakati Vita-Baridi imepamba moto, Marekani akishirikiana na The Vatican walifahamu jambo moja muhimu sana, kwamba nchi zote ambazo zinatengeneza umoja wa kisovieti kasoro Urusi zina saikolojia inayofanana kutokana na tamaduni kufanana, pia matatizo yao kisiasa ambayo yamesababishwa na Ukomunisti. Hivyo ikaamuliwa kwamba Papa ni lazima atoke Poland na awe kama Agent Provocateur.

Yuri Andropov baada ya Papa John Paul wa pili kusimikwa alienda kuwashambulia KGB hasa mkuu wa idara aliyeko Poland kwamba kwanini ariruhusu Poland itoe Papa. Baada ya lile ndiyo mara ukaanza kusikia The Hunger Strikes Poland miaka ya 1980's. Baadaye ukuta wa Ujerumani ulivyovunjwa tu na serikali ya kikomunisti ya Poland ilivyoanguka tu, kila nchi katika nchi 15 za Umoja wa Kisovieti zikaanza kujitoa kwenye muungano moja baada ya nyingine.

Sasa hii ndiyo The Domino Effect/The Swarm maana wahandisi jamii (Social Engineers) kama Propagandists wanaamini kwamba jamii husika huwa inakuwa na ubongo wake yenyewe "Volksgeist" na unaweza kucheza nayo. Juzi nilikuwa naangalia madai ya Beijing kwa kile kilichokuwa kinaendelea Hong-Kong, wakisema kwamba "America is trying to start a colour revolution in China".

Yaani Hong-Kong ikifanikiwa kuwashinda Wakomunisti ni lazima tu hili litasambaa kwenda sehemu kama Xinjiang, Taiwan, Tibet na sehemu nyingine ndani ya Uchina hivyo nchi itaparanganyika tu. Uchina anaufahamu huu udhaifu na anaogopa mno yasimkute yale ya Urusi. Xinjiang, Taiwan, Tibet na Hong-Kong wanafanana sana kwenye baadhi ya matatizo, hivyo suluhu ikipatikana Hong-Kong kwanini isipatikane Xinjiang, Tibet na Taiwan ???

MK-ULTRA IS A THING OF THE PAST which started almost half a decade ago, siku hizi utandawazi umewarahisishia sana kazi. Wamefanikiwa sana kiasi ambacho kijana wa kitanzania hana tofauti sana na kijana wa Kimarekani anayekaa New-York au Alabama kifikra. Ndiyo maana leo kuna hata mambo (Some western values) hayana umuhimu kwetu waafrika na kwasababu tu yanafanyika Ulaya na Marekani wasomi wa kitanzania wako radhi hata kufa ili kuyatetea. ITS JUST NOT NORMAL.....

Ndiyo maana Karl Marx alishauri mapinduzi yafanyike duniani alisema "The Superstructures of the Capitalist Societies like media, religion, legal order, acedemia" ni lazima zibomolewe kwasababu hivyo ndivyo vyombo ambavyo vinatumikwa kutawala akili za mtu binafsi huku mtu akihisi kwamba yuko huru na ana mawazo kumbe mawazo hayo yamepandikizwa. Karl Marks ananukuliwa akisema hivi "Religion is an opium of the people"

It sounds like a conspiracy but these things of MIND-CONTROL, SUBLIMINAL MESSAGING, INFLUENCING PUBLIC OPINION are very real. Matumizi ya kemikali na kumkamata mtu na kufuta akili yake huwa yanafanywa kwa watu wachache tu na kwa kazi maalumu, lakini sisi ambao tuko nanjilinji, dawa yetu ni SUBLIMINAL MESSAGING TU.......

A HUMAN BRAIN IS A COMPUTER AND IT CAN BE PROGRAMMED TO WORK THE WAY A PROGRAMMER WANTS IT TO WORK.

Kazi tunayoo..........
 
Haya mambo ya mind control yanatisha ndugu yangu... Na Hii kitu huenda isingejulikana kamwe kama kamati za kiuchunguzi kuundwa miaka ile ya 1960s na bunge la Marekani kuchunguza haya mambo ndipo baadhi ya hizo project zilisitishwa miaka ya mwanzoni ya 1970s . lakini mimi nadhani hizi mambo zinaendelea kimya kimya tena kwa siri sana hadi sasa ndugu .
 
Back
Top Bottom