Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Ukiwa unatumia mkaa una uwezo wa kuona wakati mkaa unaishia na kuweza kukadiria kama huo mkaa uliobaki utakusogeza hadi siku gani lakini hali iko tofauti kidogo katika matumizi ya gesi.
Raha ya gesi ni pale tu unapobadirisha dukani kwa kununua gesi mpya mana hapo una uwezo wa kukaka hata wiki mbili bila kuutikisa ila baada ya muda tabu inarudi palapale ya kutikisa ili kujaribu kuhisi kwamba iliyobaki itakufikisha wapi.
Hivi hakuna namna ambayo wauza gezi wataweza kuweka vifaa ambavyo kadri gesi inavyopungua unaweza kuona bila kutikisa mtungi?