Mkaa wa karatasi: Naomba kufahamu kwa kina kuhusu biashara hii

Multpurpose

Senior Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
123
Reaction score
78
Tujuzane Mbinu za utengenezaji, Faida, na Hasara za kutumia mkaa huu wa karatasi, , Kwa wenye ujuzi Tafadhali.
 
Dhuu mda sana'' hii mikaa nilikua namtegenezea kipindi nipo form 2 yakupikia maharage ya wali
=>kwanza unachukua makaratasi unakatakata vipande vidogo unaviweka kwenye maji 24hrs
=>vikisha lainainika unategeneza vimpira saizi kama ya nyanya
=> suhuli inakuja kwenye kuvianika inachukua mpaka siku 5 had 7 vikauke tena kwenye jua kali (juu ya bati ili viwahi kukauka))
Nb: Visipo kauka haviwaki na vinatoa moshi sana
Ili viwake vizuri bila usumbufu una vi boost na fuel mafuta ya taa ili iwe rahisi kuwaka
Changamoto
1. Upatikanaji wa karatasi
2. Kuvikausha
3. Soko
4. Vinawahi kuisha ukilinganisha na mkaa
MAONI TU
kuliko kutengeneza huu mkaa wa makaratasi bora utengeneze BIODEGRABLE CHARCOAL / CHARCOAL BRIQUETTES
 
 
shukrani mkuu, nilivutiwa na mradi huu baada ya kupewa sifa kuwa mkaa huu unachukua hadi masaa matatu mpaka kuisha.
 
Mkuu ntakutafuta unipe utaalam zaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…