Multpurpose
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 123
- 78
Tujuzane Mbinu za utengenezaji, Faida, na Hasara za kutumia mkaa huu wa karatasi, , Kwa wenye ujuzi Tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinu ziko nyingi,.
Faida;hauna gharama,.
Hasara;unachelewesha upishi,.
Uwakaji wake si kama mkaa tuliouzoea,.mm kwa upande wangu naona haunipi raha katika mapishiunachelewesha upishi kwamaana ipi mkuu, wakati wa kuwasha ama hauwaki ipasavyo ukilinganisha na mkaa wa miti?
Dhuu mda sana'' hii mikaa nilikua namtegenezea kipindi nipo form 2 yakupikia maharage ya wali
=>kwanza unachukua makaratasi unakatakata vipande vidogo unaviweka kwenye maji 24hrs
=>vikisha lainainika unategeneza vimpira saizi kama ya nyanya
=> suhuli inakuja kwenye kuvianika inachukua mpaka siku 5 had 7 vikauke tena kwenye jua kali (juu ya bati ili viwahi kukauka))
Nb: Visipo kauka haviwaki na vinatoa moshi sana
Ili viwake vizuri bila usumbufu una vi boost na fuel mafuta ya taa ili iwe rahisi kuwaka
Changamoto
1. Upatikanaji wa karatasi
2. Kuvikausha
3. Soko
4. Vinawahi kuisha ukilinganisha na mkaa
MAONI TU
kuliko kutengeneza huu mkaa wa makaratasi bora utengeneze BIODEGRABLE CHARCOAL / CHARCOAL BRIQUETTES[/QUOT
shukrani mkuu, nilivutiwa na mradi huu baada ya kupewa sifa kuwa mkaa huu unachukua hadi masaa matatu mpaka kuisha.
Uwakaji wake si kama mkaa tuliouzoea,.mm kwa upande wangu naona haunipi raha katika mapishi
Mkuu ntakutafuta unipe utaalam zaidiiDhuu mda sana'' hii mikaa nilikua namtegenezea kipindi nipo form 2 yakupikia maharage ya wali
=>kwanza unachukua makaratasi unakatakata vipande vidogo unaviweka kwenye maji 24hrs
=>vikisha lainainika unategeneza vimpira saizi kama ya nyanya
=> suhuli inakuja kwenye kuvianika inachukua mpaka siku 5 had 7 vikauke tena kwenye jua kali (juu ya bati ili viwahi kukauka))
Nb: Visipo kauka haviwaki na vinatoa moshi sana
Ili viwake vizuri bila usumbufu una vi boost na fuel mafuta ya taa ili iwe rahisi kuwaka
Changamoto
1. Upatikanaji wa karatasi
2. Kuvikausha
3. Soko
4. Vinawahi kuisha ukilinganisha na mkaa
MAONI TU
kuliko kutengeneza huu mkaa wa makaratasi bora utengeneze BIODEGRABLE CHARCOAL / CHARCOAL BRIQUETTES