Mkadirie umri member yeyote humu

Hahahahhahaa halaf anataka anihamishe et jana ananambia atanihamisha tigo sjui atanipeleka wapi na mie nishauzoea huo mtandao kuacha siwezi hahahhahahahhahahahaj umeanza
lile povu la juzi vp?? 😀😀

unapeeenda tigo mdogo wangu tutahama tu hakuna namna
 
Povu wapi dogo?? Hahahaha usinifundishe kuandika vitu sjazoea mdogo wangu mambo gan unanizoesha lakini
 
hebu andika "tigo" mpenzi

povu la juzi, we jisahaulishe tu na warning juu
 
Ujue mekaa mefikiri mara mbili povu wapi sasa mekuelewa, we endelea tu safar hii utalamba ban kama mda ule ulilamba warning, we unauonaje huo mtandao mbaya watu wanaunanga lakini ndoo wanautumia kwa sana tu (waza ujinga) hahaha
 
hahahaha me nawaza ile ya juzi usiku iliyokutoa povu hiyo nyingine sijui

nakuelewa mimi tu babe 😀
 
Hahahaa we taka kuirudisha tu honey sipendi ujue au nikununie ndio utajua sipendi babe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…