Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ila wadada hamkui, najua baada ya miaka kadhaa utakuwa bado uko humohumo mchumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mchumba. Mimi miaka yangu itagome kwenye 30 2-3yrs ijayo. Hapo ndo itakua mwisho wa kukua. Baada ya miaka mitano nikikwambia nina 31yrs jua kuna umri nimepunguza hapo. Sitaki kukua zaidiIla wadada hamkui, najua baada ya miaka kadhaa utakuwa bado uko humohumo mchumba.
bado sibishi, maandishi yako yanaongea
nimejiungaa 2016 na nisha staafu saiv[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]TOPIC CLOSED
lile povu la juzi vp?? 😀😀Hahahahhahaa halaf anataka anihamishe et jana ananambia atanihamisha tigo sjui atanipeleka wapi na mie nishauzoea huo mtandao kuacha siwezi hahahhahahahhahahahaj umeanza
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mchumba. Mimi miaka yangu itagome kwenye 30 2-3yrs ijayo. Hapo ndo itakua mwisho wa kukua. Baada ya miaka mitano nikikwambia nina 31yrs jua kuna umri nimepunguza hapo. Sitaki kukua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
we utakuwa under 18 umefanya vizurinimejiungaa 2016 na nisha staafu saiv[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Povu wapi dogo?? Hahahaha usinifundishe kuandika vitu sjazoea mdogo wangu mambo gan unanizoesha lakinilile povu la juzi vp?? 😀😀
unapeeenda tigo mdogo wangu tutahama tu hakuna namna
Marahaba mdogo wangubado sibishi, maandishi yako yanaongea
shikamooo
u are joking....right...??we utakuwa under 18 umefanya vizuri
hebu andika "tigo" mpenziPovu wapi dogo?? Hahahaha usinifundishe kuandika vitu sjazoea mdogo wangu mambo gan unanizoesha lakini
Ujue mekaa mefikiri mara mbili povu wapi sasa mekuelewa, we endelea tu safar hii utalamba ban kama mda ule ulilamba warning, we unauonaje huo mtandao mbaya watu wanaunanga lakini ndoo wanautumia kwa sana tu (waza ujinga) hahahahebu andika "tigo" mpenzi
povu la juzi, we jisahaulishe tu na warning juu
wapi huku mkuu?? tulianza vizuri tu hebu baki njia kuu.u are joking....right...??
hahahaha me nawaza ile ya juzi usiku iliyokutoa povu hiyo nyingine sijuiUjue mekaa mefikiri mara mbili povu wapi sasa mekuelewa, we endelea tu safar hii utalamba ban kama mda ule ulilamba warning, we unauonaje huo mtandao mbaya watu wanaunanga lakini ndoo wanautumia kwa sana tu (waza ujinga) hahaha
Unakamusudi ujue
Hahahaa we taka kuirudisha tu honey sipendi ujue au nikununie ndio utajua sipendi babe?hahahaha me nawaza ile ya juzi usiku iliyokutoa povu hiyo nyingine sijui
nakuelewa mimi tu babe 😀
Dogo tu huyo kamaliza form four kafeli