Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Kwan nw yupo wap maana umemwita hajaja izi dhalau uje!!!Washenzi sana hawa madogo zetuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan nw yupo wap maana umemwita hajaja izi dhalau uje!!!Washenzi sana hawa madogo zetuu
Vzr nafarijika kukufaham Davinc ni mshikaj wwngu nilisoma nae miaka ya 90 huko
Mwandiko wenu unafanana pia wote mnaonekana madogo ila nimekuelewa mkuubitozi ni ndugu yangu (mtanzania mwenzangu) ni watu wawili tofauti
MmetishaVzr nafarijika kukufaham Davinc ni mshikaj wwngu nilisoma nae miaka ya 90 huko
Tumesakata sana kabumbu miaka ya 90 kama mpira ungekuwa unalipa miaka hiyo nw day tungekuwa na sanamu uwanja wa taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha sawa broMwandiko wenu unafanana pia wote mnaonekana madogo ila nimekuelewa mkuu
Bado unadai kabisa
We ushaolewa mbebez wa nini lakini Wit? Mimi ndo singo gel kama una kaka ako huku ana vigezo niwekw nipate mbebez na mie.
Kuna kaka angu mmoja single ngoja ntakushtua weekend moja niwakutanishe...naona mnaendana sana!We ushaolewa mbebez wa nini lakini Wit? Mimi ndo singo gel kama una kaka ako huku ana vigezo niwekw nipate mbebez na mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
wilaya ya mwanga
Mwanga pale homewilaya ya mwanga
huko ni kwawazee mi dar ndo pangu huko naenda kutembea baada ya miakaMwanga pale home
Tena pale mwanga sokon nimefanya sana kazi katika duka la kiambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbeee Duuuuuuhh dar upo maeneo gan?huko ni kwawazee mi dar ndo pangu huko naenda kutembea baada ya miaka