Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Mh mjumbe hapo huchomoki kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh mjumbe hapo huchomoki kabisa
Ndg kumb karibia unakufa [emoji23][emoji23][emoji23]mimi najikadiria ntakuwa na umri kati ya miaka 65-75
mbona tayari nimekufa tangu mwaka juzi... huu sasa mwaka wapili tangu nilipokufa 😂😂😂
[emoji23][emoji23] maisha yauko yanaendaje axeembona tayari nimekufa tangu mwaka juzi... huu sasa mwaka wapili tangu nilipokufa [emoji23][emoji23][emoji23]
huku nilipo maisha hayana stress kabisa... alafu kumbe tulidanganywa kuna hukumu kumbe hata hamna... nakushauri we piga dhambi kama hauna akili nzuri vile....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona tayari nimekufa tangu mwaka juzi... huu sasa mwaka wapili tangu nilipokufa [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuko sawa kumbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuko sawa kumbe
[emoji767]101-03-821.M|T|C
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] torok uje axerhuku nilipo maisha hayana stress kabisa... alafu kumbe tulidanganywa kuna hukumu kumbe hata hamna... nakushauri we piga dhambi kama hauna akili nzuri vile....
alafu huku hakuna mambo ya bundle ni free wifi tu tena speed ya 30G naskia huko duniani ndio kwanza mpo 4G.. [emoji23]
yani hii 30G unatuma email saa 5 kamili inafika saa 4 na dk 59 yan ina speed balaaa hadi inaupita muda [emoji23][emoji23]