Mkaka mtanashati tusogeze siku

Upo vizuri hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awe mwenye huruma na kujaliana

Here we go
 
Tujikite kwenye mada wakuu, maana ya kuja na ID mpya ni kutafuta privacy.

Sasa tukianza kusema ni fulani, ni fulani siyo powa. Hasa pale tuliyemtaja ikawa siyo yeye.
Me siwajibu maana they talk nonsense. Unawezaje kumtambua mtu kirahisi hivi? Kuweni serious sometimes stop acting like whichdr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awe muajiriwa awe na kazi ya kueleweka awe msomi ww unatafuta mwanume wakukuhudumia au company ivyo vigezo vya kutafuta mwanaume na hutompata hata kdg

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nawewe umemgundua mkuu, inahitaji kutuliza akili "Critical Thinking" ili kugundua kwamba huyu mtu ana lengo gani kiundani.
 
Tunachotaka alegeze masharti, hela za kuhonga hamna sahizi kuhusu happy hour atapata za kutosha. Ni hilo tu!

Hahaha, concern yangu ni moja tu, kwamba kama huyu siyo Rebecca83, na tumejihakikishia kwamba ni yeye, unadhani Rebecca83 atajisikiaje?

Tusiwe conclusive, ndiyo maana name calling ni kosa humu JF, ni kwa sababu ya kulinda privacy.

Sote humu ni anonymous, tudili na kila mmoja in anonymous way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…