Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Huyu atakuwa rebecca83, sounds more lile her!
Tujikite kwenye mada wakuu, maana ya kuja na ID mpya ni kutafuta privacy.
Sasa tukianza kusema ni fulani, ni fulani siyo powa. Hasa pale tuliyemtaja ikawa siyo yeye.