Mkaka mtanashati tusogeze siku

Wapuuzi sana huyu ni malaya tu halafu anatumia ujanja wa kizamani eti mchumba wake yupo nje. Kuna miaka ya nyuma vidada vingi vilikuwa vinadai hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unamtaka sana huyu manzi nini? 🤣🤣🤣
 
Wapuuzi sana huyu ni malaya tu halafu anatumia ujanja wa kizamani eti mchumba wake yupo nje. Kuna miaka ya nyuma vidada vingi vilikuwa vinadai hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi zile za akina Rashida Wanjara mwana FA alipoimba mabinti dam dam. Mademu walikuwa na Taizi hizo sana yani. Eti ukimuulizia jamaa yake hayupo kaenda Mamtoni.🤣🤣🤣🤣

Proffesional Fix, a.k.a Boshen!!!
 
Mkuu unamtaka sana huyu manzi nini? 🤣🤣🤣

Kwani tangazo lake linasemaje?

Anatafuta mwanaume, na kama nimefika vigezo nitamfata PM.

Ambacho nakataa ni swala la kurelate ID yake na ID zingine za humu.

Kasema amefungua ID yake hii kulinda usalama wake, kwa nini tuwe concerned kuharibu huo usalama?

Right to privacy bro.
 
Wananipa ushawishi baadae mimtafute huyu rebeca lakn i think akiona hapa atajisikia vibaya its not fair

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jina la Rebeca83 ni anonymous ID tayari, ina maana hata ukili connect na hili la claramasawe inakuwa hamna kitu umefanya.
 
One of the great thinker tuliobaki nao humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi zile za akina Rashida Wanjara mwana FA alipoimba mabinti dam dam. Mademu walikuwa na Taizi hizo sana yani. Eti ukimuulizia jamaa yake hayupo kaenda Mamtoni.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Proffesional Fix, a.k.a Boshen!!!
Huyu hana kitu ni vile visamki vyenye miiba mingi sijui changu. Mkuu huyu dada ni mwizi na huku Dodoma nani anamuda wa kuikaribisha gharama kuna mizigo kwa mujibu wa shehe kiegezo imemwagika Dom ya kufa mtu ndio ukajibananishe kwa mwehu kama huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtakao fanikiwa mrejesho muhimu

Kampan tu lazima uwe msomi kazi je ndoa itakuaje

"WAMEMBWINU BUNI MPYA"

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]ndo mana JPM anatusisitiza tufanye kazi alafu watu kama wewe msioangaika hampendi kuambiwa muwe na kazi. Kazi ndiyo msingi wa maisha. Am hardworking do you think nikiwa na rafiki asiye na kazi au asiyejishughulisha will we match?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jina la Rebeca83 ni anonymous ID tayari, ina maana hata ukili connect na hili la claramasawe inakuwa hamna kitu umefanya.

Kwa nini yeye alisema ili kulinda usalama wake?

Maana yake ni kwamba ID yake inajulikana probably kwa mwenza wake, na akiona mwenza kaanzisha thread ya hivi unaelewa kinachofata.

Will you be happy kama ID yake ikiwa exposed na hivyo usalama wake kuwa mashakani? If yes, endelea.
 
Nacheka sana. Kunywa maji mkuu life linahitaji sana uwe na focus punguza hasira then fanya kazi yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
One of the great thinker tuliobaki nao humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa upweke unavyouma Clara... Niliwahi kuwa mpweke Hadi nikawa natamani hata mtu alale tu karibu yangu ilimradi miguu iwe minne kitandani.

Hakuna kitu kibaya Kama Lonely days kuwa stronger and stronger. Nakuelewa Clara coz Hadi kutoka hadharani na kutafuta company najua yatakuwa yamekufika hapa shingoni.

Wish you all the best lakini.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…