Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Wapuuzi sana huyu ni malaya tu halafu anatumia ujanja wa kizamani eti mchumba wake yupo nje. Kuna miaka ya nyuma vidada vingi vilikuwa vinadai hivyo.Stuka! Hizi ndio mbinu zao mpya, we mtu ana kazi na biashara zake na bwana wa kumtumia hela yuko nje ya nchi kwanini ang'ang'anie uwe na kazi ya kueleweka?
Companionship inahusiana vipi na kazi ya kueleweka? Kaa kijanja! Selection ya miaka inaonesha dhahiri tu kuwa anetafutwa ni Danga!
Sent using Jamii Forums mobile app