claramasawe
Member
- May 16, 2020
- 37
- 40
- Thread starter
-
- #101
[emoji24][emoji24]Some people they dont understand this situation how it is. Ni shida hasa ukiwa siyo mtu wa kutoka toka.Naelewa upweke unavyouma Clara... Niliwahi kuwa mpweke Hadi nikawa natamani hata mtu alale tu karibu yangu ilimradi miguu iwe minne kitandani.
Hakuna kitu kibaya Kama Lonely days kuwa stronger and stronger. Nakuelewa Clara coz Hadi kutoka hadharani na kutafuta company najua yatakuwa yamekufika hapa shingoni.
Wish you all the best lakini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana , mimi simshauri mtu kwenda kizembe ivo, Dunia yetu yasasa hahahahahah unaondoka.
Chief,,Hahah mkuu , hawa wajanja mnoo, ukicheza unaondoka ndani ya miaka 9 tu kwa uzembe !!
Alafu alipoweka mtego et "Bwanangu yupo nje kimasomo, et kahamia sijui nn," ... ivi kweli kahamia eneo asojulikana , wanaume tulivo wepesi wa kuona vilivyo vigeni nhajatongozwa ?? Et mpaka aje JF tena ID mpya akijinasibu ???Hapana , mimi simshauri mtu kwenda kizembe ivo, Dunia yetu yasasa hahahahahah unaondoka.
Kupima kwanza mengine baadae !!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaha umenichekesha sana ni kweli mkuu huwez cheza kamali kama hii wakati Hapa dom kuna bebez za kujichagulia kwa machoHuyu hana kitu ni vile visamki vyenye miiba mingi sijui changu. Mkuu huyu dada ni mwizi na huku Dodoma nani anamuda wa kuikaribisha gharama kuna mizigo kwa mujibu wa shehe kiegezo imemwagika Dom ya kufa mtu ndio ukajibananishe kwa mwehu kama huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajielewi huyu anataka kampani masharti kibao kama IMF. Yeye aseme anataka mume wa kuishi nae. Anajichangaya kweli anataka kijana mtanashati sijui kasikia wapi kama vijana watanashati wanatoa hela zao.Hahaaha umenichekesha sana ni kweli mkuu huwez cheza kamali kama hii wakati Hapa dom kuna bebez za kujichagulia kwa macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku sisi tunacheza na wake za watu waume zao wamebaki dar. Na msimu wa kuumizana umewadia si unajua kibaridi ndio kinaanzaWazee wa dodomya,, mtoto huyo fanyeni mambo au mfungo uishe kwanza[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jizi hili halafu linakuja na wizi wa kizamani sana eti anaona akisema ana bwana yupo nje watashoboka. Bora hata akisema ana dawa ya kutibu corona.Yaani Unahitaji Kampani tu halafu unaweka Vigezo Viiingi. Kazi inaingiaje hapo?
π π π π π π πSelection ya miaka inaonesha dhahiri tu kuwa anetafutwa ni Danga!