Mkaka mtanashati tusogeze siku

Mkaka mtanashati tusogeze siku

Naelewa upweke unavyouma Clara... Niliwahi kuwa mpweke Hadi nikawa natamani hata mtu alale tu karibu yangu ilimradi miguu iwe minne kitandani.

Hakuna kitu kibaya Kama Lonely days kuwa stronger and stronger. Nakuelewa Clara coz Hadi kutoka hadharani na kutafuta company najua yatakuwa yamekufika hapa shingoni.

Wish you all the best lakini.



Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji24][emoji24]Some people they dont understand this situation how it is. Ni shida hasa ukiwa siyo mtu wa kutoka toka.
Asante kunitia moyo mkuu
Be blessed!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah mkuu , hawa wajanja mnoo, ukicheza unaondoka ndani ya miaka 9 tu kwa uzembe !!

Alafu alipoweka mtego et "Bwanangu yupo nje kimasomo, et kahamia sijui nn," ... ivi kweli kahamia eneo asojulikana , wanaume tulivo wepesi wa kuona vilivyo vigeni nhajatongozwa ?? Et mpaka aje JF tena ID mpya akijinasibu ???
Dr. Unataka kumpima[emoji23],



Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana , mimi simshauri mtu kwenda kizembe ivo, Dunia yetu yasasa hahahahahah unaondoka.

Kupima kwanza mengine baadae !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah mkuu , hawa wajanja mnoo, ukicheza unaondoka ndani ya miaka 9 tu kwa uzembe !!

Alafu alipoweka mtego et "Bwanangu yupo nje kimasomo, et kahamia sijui nn," ... ivi kweli kahamia eneo asojulikana , wanaume tulivo wepesi wa kuona vilivyo vigeni nhajatongozwa ?? Et mpaka aje JF tena ID mpya akijinasibu ???Hapana , mimi simshauri mtu kwenda kizembe ivo, Dunia yetu yasasa hahahahahah unaondoka.

Kupima kwanza mengine baadae !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief,,
ID mpya huwa naziogopa [emoji23]

Wengine ni Eagle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu hana kitu ni vile visamki vyenye miiba mingi sijui changu. Mkuu huyu dada ni mwizi na huku Dodoma nani anamuda wa kuikaribisha gharama kuna mizigo kwa mujibu wa shehe kiegezo imemwagika Dom ya kufa mtu ndio ukajibananishe kwa mwehu kama huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaha umenichekesha sana ni kweli mkuu huwez cheza kamali kama hii wakati Hapa dom kuna bebez za kujichagulia kwa macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku hakuna gharama na msimu huu wa mwezi wa 6 baridi ndio kbs wake za watu wanataka sana hisani yeye anakuja na masharti kama IMF mtu ana mchumba wake mamtoni sasa anataka kampani ya masharti ya nini. Ukisogeza hapo maeneo ya Chang'ombe kuna Wasomali wa kufa mtu ukija huku uswazi kwetu wapo kibao. Yeye awe muwazi anatafuta mume halafu kakanyaga waya kuna kijana m
Hahaaha umenichekesha sana ni kweli mkuu huwez cheza kamali kama hii wakati Hapa dom kuna bebez za kujichagulia kwa macho

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajielewi huyu anataka kampani masharti kibao kama IMF. Yeye aseme anataka mume wa kuishi nae. Anajichangaya kweli anataka kijana mtanashati sijui kasikia wapi kama vijana watanashati wanatoa hela zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Unahitaji Kampani tu halafu unaweka Vigezo Viiingi. Kazi inaingiaje hapo?
 
Campan 🤷🏽‍♂️ unacheza na hisia kama kalata

Bai ze wey huwo muda mchafu wa kudate for fun cjui mnatoa wapi [emoji1492]‍♂️


Imeisha hiyoo
 
Nawewe weka sifa zako tuone kama unakidhi vigezo vyetu.


Sent from iPhone 6s Plus
 
Back
Top Bottom