Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Itakuwa ni gia tu ya kutafuta mwanaume mwenye helaStuka! Hizi ndio mbinu zao mpya, we mtu ana kazi na biashara zake na bwana wa kumtumia hela yuko nje ya nchi kwanini ang'ang'anie uwe na kazi ya kueleweka?
Companionship inahusiana vipi na kazi ya kueleweka? Kaa kijanja! Selection ya miaka inaonesha dhahiri tu kuwa anetafutwa ni Danga!
shuleItakuwa ni gia tu ya kutafuta mwanaume mwenye hela
ha ha ha ha ndio hivyo mkuu,kuna umri akifikia ataregeza tu mashartimjini
shule
😂😂😂
Hamna namna wazee wa amfifiro tunamsubiria 🤣🤣🤣ha ha ha ha ndio hivyo mkuu,kuna umri akifikia ataregeza tu masharti
ha ha ha haHamna namna wazee wa amfifiro tunamsubiria 🤣🤣🤣
Kwan hutongozwi huko nje...mitaani kanisani sokoni kazini etc[emoji24][emoji24]Some people they dont understand this situation how it is. Ni shida hasa ukiwa siyo mtu wa kutoka toka.
Asante kunitia moyo mkuu
Be blessed!
Sent using Jamii Forums mobile app
hawana pesa
ha ha ha inawezekana,pia wanasahau vitu vingine vinategemea muonekano wake
Stuka! Hizi ndio mbinu zao mpya, we mtu ana kazi na biashara zake na bwana wa kumtumia hela yuko nje ya nchi kwanini ang'ang'anie uwe na kazi ya kueleweka?
Companionship inahusiana vipi na kazi ya kueleweka? Kaa kijanja! Selection ya miaka inaonesha dhahiri tu kuwa anetafutwa ni Danga!
Una trako tuanzie hapo afu uko wapi nijibu nije pm kukuchukua maelezoGood morning my people.
Awali ya yote nimekuja na Id mpya kuficha usalama wangu, ila me ni mwenyeji humu JF muda tu
Wanasema mficha ugonjwa kifo humuumbua
Nahitaji mwanaume wa kupeana kampani tu (maana nina mchumba) ila yupo nje ya nchi kimasomo
Ni wakati huu ambao nimeamia makao makuu ya nchi, hakuna ndugu, wala rafiki wa kubadilishana mawazo nahisi ntakufa kwa upweke i need some one for campan.
Awe kijana miaka 29-35
Awe msomi
Awe smart mwilini na akili pia
Awe ana kazi ya kueleweka
Awe mwenye huruma na kujaliana
Sifa zangu
Mwajiriwa na biashara kidogo
Mweupe mrefu
Umri 29
Sihitaji matusi kama haikuhusu usiweke neno
Nipo hapaGood morning my people.

MmmmmhNakuja Piem My Wangu