Mkaka mtanashati tusogeze siku

Hivi itakuwaje kama anayekuja PM na kuchat na wewe ni mchumba wako?aisee sisi MABAHARIA tuna mitihani mkubwa na wachimba zetu...si utafute hata DODOKI ujiridhishe?kumbe ndy tunavyofanyiwa MABAHARIA tukisafiri...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi zile za akina Rashida Wanjara mwana FA alipoimba mabinti dam dam. Mademu walikuwa na Taizi hizo sana yani. Eti ukimuulizia jamaa yake hayupo kaenda Mamtoni.🤣🤣🤣🤣

Proffesional Fix, a.k.a Boshen!!!
Mamtoni wapi,labda mto wami huko huhuu
 
Unahitaji Mtanashati,je wewe ni Mtanablauzi?
 
Mbona hujaweka awe anaishi wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh....another bitch in jf......sucks.
 
“watanashati mwendo wa suruali na shati.. moka chini juu tai watu wamevunja kabati"

Wengine nyumba ya udongo, nyasi, mlango wa gunia
Ndani hakuna mwiko, kikombe wala sufuria
Zaidi ya kiberiti tu na kipande cha mkeka
Na nikishakula [emoji377] mambo yangu nauweka,
Wala sioni hatari kula dona dagaa
Si kuna wengine hawajauona, wamelala na njaa
Na usione tumepinda migongo, ukadhani ni vibyongo
Pengine ni ufupi tu wa mlango
We endelea kula bia acha mi nikapate gongo
Mradi wote tuwe stim ndio life ya kibongo.
 
Dah "Mdude Chadema honey trap on work"
 
Wale ambao hawajawahi kula tunda kimasihara nafasi ndo hii sasa.
 
Kazi ya kueleweka ni inayoingiza how much? Nikiwa na 2.8m ya sisi kutumia kila mwezi kwe urafiki wetu itatosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…