Mkaka mtanashati tusogeze siku

Mkaka mtanashati tusogeze siku

Stuka! Hizi ndio mbinu zao mpya, we mtu ana kazi na biashara zake na bwana wa kumtumia hela yuko nje ya nchi kwanini ang'ang'anie uwe na kazi ya kueleweka?

Companionship inahusiana vipi na kazi ya kueleweka? Kaa kijanja! Selection ya miaka inaonesha dhahiri tu kuwa anetafutwa ni Danga!
Lol. Maskin wewe, kazi ya kueleweka inakufanye tuweze kuongea lugha zinazofanana upo hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPO TAYARI KUPIMA HIV ?? Na magonjwa mengineo yaambukizayo kwa njia ya ngono? Usije kua ni moto.
 
Back
Top Bottom