Mkaka mtanashati tusogeze siku

Mkaka mtanashati tusogeze siku

Af tunaharibu uzi wa watu unajua, em tutoke huku maana wewe hauna msaada kwa mleta uzi😂😂
Ahahahahaha, wewe umesafiri na baadhi ya vitu vyangu, nimebaki na mikono tuu ya ku typp
 
Ulinibembeleza nikakubeza
Unanuka na nikatukelekeza
Macho makengeza miguu ya pweza
Kuwa nawe nkasema niliteleza
Leo unapendeza wamekutengeneza
Wanaume wenye mali wenye fedha
Sasa unajiweza na sio najikweza
Najutia nafasi kuipoteza
Leo aibu yangu.......[emoji445][emoji444]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom