Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
We sijui ulijificha wapi my boo, i miss u like crazy mi love 😍😍😍! Lets have dinner bbz,My baby,nimechelewa wapi sikuoiona hii offer😪,anyways let's have dinner together bebe😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We sijui ulijificha wapi my boo, i miss u like crazy mi love 😍😍😍! Lets have dinner bbz,My baby,nimechelewa wapi sikuoiona hii offer😪,anyways let's have dinner together bebe😍
I was busy with the kids/our kids babe si wajua tena😀We sijui ulijificha wapi my boo, i miss u like crazy mi love 😍😍😍! Lets have dinner bbz,
I been thinking about you, each and every moment my love 😍😍😍I was busy with the kids/our kids babe si wajua tena😀
I miss you more love.
here iam, nipo makao makuu pia, if ur interested , hit my dm plzGood morning my people.
Awali ya yote nimekuja na Id mpya kuficha usalama wangu, ila me ni mwenyeji humu JF muda tu
Wanasema mficha ugonjwa kifo humuumbua
Nahitaji mwanaume wa kupeana kampani tu (maana nina mchumba) ila yupo nje ya nchi kimasomo
Ni wakati huu ambao nimeamia makao makuu ya nchi, hakuna ndugu, wala rafiki wa kubadilishana mawazo nahisi ntakufa kwa upweke i need some one for campan.
Awe kijana miaka 29-35
Awe msomi
Awe smart mwilini na akili pia
Awe ana kazi ya kueleweka
Awe mwenye huruma na kujaliana
Sifa zangu
Mwajiriwa na biashara kidogo
Mweupe mrefu
Umri 29
Sihitaji matusi kama haikuhusu usiweke neno
Hahaaaà!dahClara umeamua kunisaliti kweli sababu nipo mbali?
We dada unachotaka kufanya sio kizuri. Fikiria mara ya pili uamuzi wako.
Ongozwa na akili sio hisia..
Mkui hii comment imenichekeshaa sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kushiba ni mbaya sana!
Umesahau kuandika kuwa utamuua liniGood morning my people.
Awali ya yote nimekuja na Id mpya kuficha usalama wangu, ila me ni mwenyeji humu JF muda tu
Wanasema mficha ugonjwa kifo humuumbua
Nahitaji mwanaume wa kupeana kampani tu (maana nina mchumba) ila yupo nje ya nchi kimasomo
Ni wakati huu ambao nimeamia makao makuu ya nchi, hakuna ndugu, wala rafiki wa kubadilishana mawazo nahisi ntakufa kwa upweke i need some one for campan.
Awe kijana miaka 29-35
Awe msomi
Awe smart mwilini na akili pia
Awe ana kazi ya kueleweka
Awe mwenye huruma na kujaliana
Sifa zangu
Mwajiriwa na biashara kidogo
Mweupe mrefu
Umri 29
Sihitaji matusi kama haikuhusu usiweke neno
Stuka! Hizi ndio mbinu zao mpya, we mtu ana kazi na biashara zake na bwana wa kumtumia hela yuko nje ya nchi kwanini ang'ang'anie uwe na kazi ya kueleweka?
Companionship inahusiana vipi na kazi ya kueleweka? Kaa kijanja! Selection ya miaka inaonesha dhahiri tu kuwa anetafutwa ni Danga!
Me Nina miaka 27 inakuaje sasaGood morning my people.