Heloo JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 4,391 Reaction score 3,404 Jan 6, 2015 #1 Natafuta Kaka mstaarabu mtulivu mwenye kujua utu na ubinaadamu wa kubadilishana nae Mawazo yaani kuchati na kushauriana kuhusu Maisha kwa ujumla. Mengine kama mimi nani au namba ya Simu ni baada ya ku PM. With thanks!
Natafuta Kaka mstaarabu mtulivu mwenye kujua utu na ubinaadamu wa kubadilishana nae Mawazo yaani kuchati na kushauriana kuhusu Maisha kwa ujumla. Mengine kama mimi nani au namba ya Simu ni baada ya ku PM. With thanks!
Gsana JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 4,383 Reaction score 1,337 Jan 6, 2015 #2 TISS nn maana mhhh!!
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,997 Reaction score 15,112 Jan 6, 2015 #3 Labeyka binti ,,,,Nipo !!
MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 2,780 Reaction score 2,555 Jan 6, 2015 #4 Heloo Ok, twende pm Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
pakaywatek JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 4,660 Reaction score 6,282 Jan 6, 2015 #5 Mimi niko tayari taja bei.
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Jan 6, 2015 #6 ​nimepishana nao wanakuja mbio kweeli.......subiria
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jan 6, 2015 #9 nidipu kwenye namba hii 0713800880
B Blueband JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 668 Reaction score 244 Jan 6, 2015 #10 King Kong III said: nidipu kwenye namba hii 0713800880 Click to expand... Mkuu nimecheka hii kitu hadi nalia..... duuh! jf inatisha!!
King Kong III said: nidipu kwenye namba hii 0713800880 Click to expand... Mkuu nimecheka hii kitu hadi nalia..... duuh! jf inatisha!!
ALLEX JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 2,006 Reaction score 343 Jan 6, 2015 #11 Haya ni pm nakusubiri
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Jan 7, 2015 #13 mimi mume wa mtu uko tayari tuchat?
EMT Platinum Member Joined Jan 13, 2010 Posts 14,477 Reaction score 15,325 Jan 7, 2015 #14 Me like taming wild animals, chasing tornadoes and collecting women bras. Do you have some bras ready for collection?
Me like taming wild animals, chasing tornadoes and collecting women bras. Do you have some bras ready for collection?
Manjeta JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 393 Reaction score 239 Jan 7, 2015 #15 Nb: Usisahau kuni-pm mimi...sawa?
S Shasya Member Joined Jan 2, 2015 Posts 10 Reaction score 0 Jan 7, 2015 #16 Ni Pm Kama Bado Hujampata
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,378 Reaction score 29,739 Jan 7, 2015 #17 Tatizo unaweza ukawa ni dume.!
C charloh4 Member Joined Jun 22, 2013 Posts 31 Reaction score 4 Jan 7, 2015 #18 Hey..tunaweza chat ?friends....
jiwe7456 Member Joined Jan 5, 2015 Posts 20 Reaction score 46 Jan 7, 2015 #19 Ni pm nipo tayari utanipataaa
Amadoli JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 2,544 Reaction score 2,265 Jan 7, 2015 #20 Weka picture tafadhar