mkakati huu wa wizara utapunguza uhaba wa waalimu wa sayansi?

mkakati huu wa wizara utapunguza uhaba wa waalimu wa sayansi?

ntita

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
513
Reaction score
285
wana jf leo akatika pita zangu nimekutana na habari hii.

http://ziro99.blogspot.com/2014/04/wanaotaka-kuwa-waalimu-wa-sayansi-sasa-html?m=1

je kuna atakayepata daraja la kwanza halafu aende kusoma ualimu?

SINA HAKIKA KAMA HIYO ANWANI INABOFYEKA. NIMESHINDWA NAMNA YA KUIAMBATANISHA.
 
Sidhani wengerekebisha na kuondoa kero za walimu nadhani huo mkakati ungefanikiwa..
 
wengi tu wana div.1,2,3 wameenda kusomea ualimu. hakuna jipya hapo. angalia tcu wanachukua point ngapi mwisho.
 
wengi tu wana div.1,2,3 wameenda kusomea ualimu. hakuna jipya hapo. angalia tcu wanachukua point ngapi mwisho.

kama umesoma hiyo habari inahusu matokeo ya kidato cha nne.
 
division one za arts wamejazana vyuo vikuu TATIZO ni hakuna mwanachuo mwenye div one ata two na three za mwanzani umkute anaenda kusomea ualimu kwani hakuna mkakati mzuri wa kuwavutia waende ualimu kwa mishahara wanayoisikia....Janga....mwaka huu kuna Manispaa moja imepata walimu wawil tu wa mathematics sasa jiulize je serikal inampango gani na future ya sayansi kwa maana ya doctors,engineers,statiacian, extension officers nk km haitakuja na mpango wa kunusuru sayansi kwa Tanzania
 
wana jf leo akatika pita zangu nimekutana na habari hii.

http://ziro99.blogspot.com/2014/04/wanaotaka-kuwa-waalimu-wa-sayansi-sasa-html?m=1

je kuna atakayepata daraja la kwanza halafu aende kusoma ualimu?

SINA HAKIKA KAMA HIYO ANWANI INABOFYEKA. NIMESHINDWA NAMNA YA KUIAMBATANISHA.

http://ziro99.blogspot.com/2014/04/ wanaotaka-kuwa-waalimu-wa-sayansi-sasa- html?m=1
 
Jibu ni haiwezi kutatua tatizo. Mkakati uliopo ni kufuta masomo ya sayansi. Kama huamini hilo nenda ktk ofisi ya DSEO halmashauri uliyopo upate takwimu za idadi ya walimu wa sayans walioajiriwa kila mwaka kwa miaka 5 tu tangu 2010 utaona jinsi idadi inavyozidi kupungua. Hata huko vyuoni pata takwmu za wanaosoma hayo masomo, utakata tamaa. Serikali imefanikiwa kufuta masomo hayo mashuleni. Hongera sana
 
Back
Top Bottom