zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,068
Wakuu JF,
Habari za masiku mabibi na mabwana, kwanza kabisa niwashukuru mashabiki wangu ambao mnaniunga mkono katika kuelimishana, kuburudishana na mwisho wa siku, life linasonga. Katika hati hati za kuelekea Valentine nilipenda jambo moja kuhusu sisi tunaoitwa wanaume wa dar tuyajadili ili heshima na hadhi ilirudi mahali pake. Wanaume wa dar tuna nguvu kubwa sana, tunaweza ishi maisha ya aina yoyote yale kwenye jamii yoyote ile na maendeleo yakapatikana kwa sababu sisi ni watoto wa mjini na tunatambua "CITY IS ABOUT THE PRICE"
Kwanza alama ya mwanaume wa dar kwa sasa hivi inanajisiwa na watu wasiotutakia mema kwa kuipaka matope na mambo ya ushoga, utegezi kwenye kila jambo la msingi mfano ndoa. Hali hii ilianza kushamiri sana hasa huku mitandaoni mfano humu JF. Dharau zote sielewi imekuaje kuaje mpaka tunadhihakiwa kiasi hiki.
Ukitafakari vizuri, wanaume wa dar ni watafutaji hela, hatuna choyo na ukitaka uthibitisho madanga wengi wata prove hilo(ajabu hawa ndiyo nambari moja kutudhihaki), open minded, revolutionary, peace and love, matajiri n.k.
Sasa naomba uzi huu tuje na mkakati wa kukomesha dharau hizi kwa kila adui(wapo wengi hasa wa mikoani na baadhi ya madanga ambao ni much know kwa sana) atakaesogeza pua yake kwenye ma pubs, ma baa, ma ofisi.
Nakaribisha mawazo yenu.