Katiba ni mali ya wananchi. Jitihada za kutufikisha kuliko haki haziwezi kufanyikia gizani.
Hii mambo ya kina TCD na kina Zitto haziwasimamishi wasioridhika nazo kuchukua mwelekeo mwingine.
Mkakati mpya kudai Katiba
Watu ambao hawakuwahi kukemea ndivyo sivyo za tume ya uchaguzi, polisi dhidi ya vyama vya siasa, Msajili na serikali dhidi ya katiba nk, wanapata wapi uhalali wa kumtafutia nani suluhu?
Ziungwe mkono jitihada za wanaharakati huru hawa kwa kutia vidole kwenye makabrasha yao yenye kuonyesha utayari wa kutia nia.
Milioni 5 wetu watawapa watawala mrejesho kamili:
"Inatakiwa katiba mpya sasa itakayo kuwa suluhisho kwa sintofahamu zote, zikiwamo za ukiukwaji wa wazi wa katiba uliopo."