Mkakati Mpya wa CHADEMA wa kuifuta CCM Majimboni waanza vizuri

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Labda kwa wale ambao hawaelewi ni hivi , Chadema sasa imeamua kuchukua wananchi wote na kubakisha viongozi pekee , yaani wananchi wote wanakuwa wanachadema halafu ccm inabaki na Viongozi tu .

DED , DC , POLIS , MAYOR , RC , MAWAZIRI , WABUNGE pamoja na familia zao , kwa hesabu hawafiki hata mil 2 , hawa wala hawana hata uwezo wa kununua shahada za kupigia kura wala kukimbia na masanduku ya kura kutokana na kuwa na visukari vilivyosababishwa na matumbo makubwa .

Yaani CHADEMA na Wananchi , ccm na viongozi , itafika wakati watahutubia watendaji tu , hawa tukichukua wananchi ni wepesi kuliko pamba .

Angalia Mkakati wa Tarime Mjini , hakuna mabomu wala nini .

 
Ndio shida ya kutokuwa na ofisi zenu wenyewe.sasa ona namna mlivyojikunyata kwenye hilo pagala kama wahamiaji haramu. yaani mnashindwa hata kutafuta ukumbi mzuri? Ndio maana mlimuandaliaga Lissu jukwaa utafikiri kichanja cha mtama.

Hamjitambui kabisa nyie nyumbu wa CHADEMA.ndio maana mbowe anajitafunia zake Ruzuku na michango yote kama ile ya join the chain kama mchwa maana alishaona akili zenu ni kama manyumbu tu.

Ninyi hamna ubavu wa kushindana na CCM wala kujilinganisha na CCM kwa vigezo vya aina yoyote ile. CCM ipo mbele yenu kwa kila kitu.
 
Chama cha siasa ni mabarabarani na Majukwaani - JK NYERERE
 
Umesahau kitu, Mwamala utatumwaje?
 
2025 Urais tunaenda na Patriotic or Puppet? naulizwa na Wananchi
 
Ofisi zipi wakati ofisi za ccm ni mali ya uridhi wa Tanganyika
 
na wanaonekana wana njaa kali na kiu haswaa na hakuna matumani ya kupata chochote maskini watu wa watu wanasinzia tyuuuu..
 
Nilitarajia swali hili , tunaposema Barabarani maana yake ni kuwafikia wananchi popote walipo
barabarani hamtaruhusiwa ng'oo !!!

yaani hilo ni kusahau tu,
Yaan mwende kuiba na kupora ndizi, nyanya, vitunguu, wali na pilau vya mama ntilie mtaani, maduka na migahawa ya wananchi mruhusiwe kweli.?

Historia yenu ni chafu barabarani, uchafuzi wenu hautaruhusiwa kamwe.
mikutano ya kisiasa imeruhusiwa, mwende mkafanye mikutano ya kisiasa kistaarabu...

Maandalizi ya fujo kama mlizotarajia kuzifanya mbeya kipindi kifupi kilichopita hayataruhusiwa kabisa popote nchini..
 
Ni wapi Chadema waliwahi kufanya fujo ?
 
Ni wapi Chadema waliwahi kufanya fujo ?
mara ya Mwisho ni yule mjaamaa muasisi wa fujo na migomo alietumwa na mabwenyenye kutoka ng'ambo kuleta fujo kufunga barabarani watu wengine wasitumiea barabara na kugalagala barabarani kulazimisha kuingia ngorongoro pasipo ruhusiwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…