Mkakati Mpya wa CHADEMA wa kuifuta CCM Majimboni waanza vizuri

Yaani CHADEMA na Wananchi , ccm na viongozi , itafika wakati watahutubia watendaji tu , hawa tukichukua wananchi ni wepesi kuliko pamba .
Juzi Tanga mjini Tangasisi , mtaa wa Mwang'obe, Bashungwa na Ummy Mwalimu walikuja kuhutubia, walikuta na viongozi tu and a handful of people, literally , absolutely hapakuwa na watu "kabisa" licha ya gari kupita nyumba na nyumba kuhamasisha watu! What you are saying might be very true, but you need to do more for its perfection!
 
Nakond tayari ameisha wawahi,anatembea mbele yenu akiwafuta huko Grass-roots!
 
Unapiga sana mayowe ukisikia wananchi wanaifuta ccm , hapa hatusifii mtu wala hakuna uchawa ni Wazalendo wanapambana kumuokoa mtanzania kwenye makucha ya mkoloni mweusi.
 
We
Wewe kabla 1992 ulikuwepo hapa duniani,Mali nyingi zilipatikana wakati ule wa" mass party"
 
uzi umedoda
 
NRM ya Museven ipo madarakani since 1987 mpaka sasa haina ofisi hata moja nchi nzima
 
Asante sana
 
Nyie si mnatumia tozo kujenga ofisi? Sasa wao tozo wanatoza wp?
 
Ahsante kwa taarrifa.
 

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Chadema si mmesema hamtashiriki uchaguzi bila tume huru na Katiba mpya,?

Huyo mkakati utafanikiwa kweli,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…