Mkakati mpya wa kivita kwa kutumia Drones umesambaratisha vikosi vya Syria Idlib

Mkakati mpya wa kivita kwa kutumia Drones umesambaratisha vikosi vya Syria Idlib

Kama vimesambaratika Mbona hatujasikia waasi wakiteka maeneo yanayo shikiliwa na serikali ?
Uturuki atajitutua weeee ila mwisho ukweli utabaki pale pale ya kwamba ni razima aondoke syria.
 
Kama vimesambaratika Mbona hatujasikia waasi wakiteka maeneo yanayo shikiliwa na serikali ?
Uturuki atajitutua weeee ila mwisho ukweli utabaki pale pale ya kwamba ni razima aondoke syria.
Pona Erdogan ni mkutano wake na putin kama Putin akikubali kusitisha mapigano!
 
Kama vimesambaratika Mbona hatujasikia waasi wakiteka maeneo yanayo shikiliwa na serikali ?
Uturuki atajitutua weeee ila mwisho ukweli utabaki pale pale ya kwamba ni razima aondoke syria.
Uturuki wameamua kutumia propaganda baada ya kuona battle ground ni pagumu kwao

Sijuo wanachukuliaje kuangamiza tank 135

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo habari sio za kweli, Syria wamezikanusha hizo habari, hizo ni ktk propaganda Erdogan juzi alipohutubia ili kuwatuliza wananchi wake kwa kuwa askari wengi wa Uturuki wanauwawa, baada ya zile ndege 2 za Syria Kutunguliwa huku drone zaidi ya 12 za Uturuki kuangushwa tena unaambiwa ni drone ghali sana, huku majeshi ya Syria yakiendela na operation zao na kuteka vijiji, kuna wanajeshi wanne wa Uturuki wameuwawa mda mchache uliopita na wengine kujeruhiwa
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Turkey

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuteketeza Tanks 135 Sio Mchezo Nahisi Ingelikua Nyuzi Maarufu Zaidi Duniani Kwasiku Yaleo
Battle for Idlib: Turkey's drones and a new way of war

Turkish forces destroyed two Syrian Su-24 fighter jets, two drones, 135 tanks, and five air defence systems and "neutralised" more than 2,500 fighters loyal to the Syrian government. The term neutralised is used for the killing, wounding, or capturing of pro-al-Assad forces.
Kiufupi Hizo Ni Propaganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi mtupu. Vita inapiganwa field sio kwenye media. Tanks 135 na askari 2500 within One week hiyo ingekuwa victory of the decade

hahahaha wao wanatumia msemo kuwa asikari wa siria 2,500 have been neutralised sijui huwa wanamaanisha nini ila inaonekana wanapata kipigo haswa!
 
hahahaha wao wanatumia msemo kuwa asikari wa siria 2,500 have been neutralised sijui huwa wanamaanisha nini ila inaonekana wanapata kipigo haswa!
Enzi za electronic warfare infantry "askari wa miguu" wanapuputishwa kimasikhara na mtaalamu mbele ya screen na game console.
 
Hao marubani wawili waliotunguliwa ndege zao wako salama, Jeshi la Syria lilienda haraka sana kuwachukua baada ya kutua salama na mapachuti yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi mtupu. Vita inapiganwa field sio kwenye media. Tanks 135 na askari 2500 within One week hiyo ingekuwa victory of the decade

Sent using Jamii Forums mobile app
Navita yenyewe ingemalizika leo leo nawala nisingeshangaa kuona serikali ya RUSSIA Keshokutwa Asubuhi Inafungasha Virago Vyavikosi Vyao Nakurejelea MOSCOW Maana Wangelishakua Washapoteza Vita Kinyume Yamatakwa Namatarajio Yao Askari 2500 Kuna Kama Kambi Mbili Ama Tatu Hapo Ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom