Mkakati mpya wa kivita kwa kutumia Drones umesambaratisha vikosi vya Syria Idlib

Mkakati mpya wa kivita kwa kutumia Drones umesambaratisha vikosi vya Syria Idlib

Kuangamiza vifaru 135 na askari 2500 kwa kutumia drone haina tofauti na Rambo kuangamiza jeshi zima la wavietnam kwa kisu tu.. Hizi ni stori tu za vijiweni.. Uharibifu wa scale hii unategemea unaweza kufanywa na Bombers tena zile heavy ambazo sidhani kama Uturuki wanazo
 
Waturuki kwahapa wamepuyanga kinyamaaaaa
Kuangamiza vifaru 135 na askari 2500 kwa kutumia drone haina tofauti na Rambo kuangamiza jeshi zima la wavietnam kwa kisu tu.. Hizi ni stori tu za vijiweni.. Uharibifu wa scale hii unategemea unaweza kufanywa na Bombers tena zile heavy ambazo sidhani kama Uturuki wanazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askari 2,500? Vifaru 135? Hahaha, labda vifaru vya nchi nzima ya Syria vimelipuliwa[emoji23][emoji23] halafu hao Askari 2,500 walikuwa wamesimama ili wauliwe?

Why such exact number???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji86][emoji86] Edorgan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edorgan anachekesha kwa kweli maana hata chizi sizani kama atamuelewa.we umeuwa askali 2500 na kuteketeza vifaru 350 alafu mwisho wa siku maeneo ya waasi yanazidi kupotea,sasa hapo utaeleweka kweli maana vita ni kusonga mbele wala sio kuteketeza jeshi la adui alafu wewe mwenyewe unazidi kurudi nyuma.

kiukweli kuna aja ya viongozi kupimwa akili kabla ya kuongoza watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askari 2,500? Vifaru 135? Hahaha, labda vifaru vya nchi nzima ya Syria vimelipuliwa[emoji23][emoji23] halafu hao Askari 2,500 walikuwa wamesimama ili wauliwe?

Why such exact number???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji86][emoji86] Edorgan

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hapo kapiga nakuuwa wingi wa askari wa zaidi ya kambi mbili zakijeshi halafu bado habari kama hio anayo mwenyewe tu kwake turkey[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Battle for Idlib: Turkey's drones and a new way of war

Turkish forces destroyed two Syrian Su-24 fighter jets, two drones, 135 tanks, and five air defence systems and "neutralised" more than 2,500 fighters loyal to the Syrian government. The term neutralised is used for the killing, wounding, or capturing of pro-al-Assad forces.
Nimeona leo Al Jazeera rais Putin akikutana na rais wa Uturuki Edorgan kuhusiana na hii vita. Naona kuna makubaliano wanataka wayafikie
 
Navita yenyewe ingemalizika leo leo nawala nisingeshangaa kuona serikali ya RUSSIA Keshokutwa Asubuhi Inafungasha Virago Vyavikosi Vyao Nakurejelea MOSCOW Maana Wangelishakua Washapoteza Vita Kinyume Yamatakwa Namatarajio Yao Askari 2500 Kuna Kama Kambi Mbili Ama Tatu Hapo Ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia taarifa za leo Putin kaenda kuonana na Ardogan. Muda huu wapo kwenye mazungumzo
 
edo baada ya kuona mambo magumu kaenda kujisalimisha kwa putin
 
Back
Top Bottom