simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Pona Erdogan ni mkutano wake na putin kama Putin akikubali kusitisha mapigano!Kama vimesambaratika Mbona hatujasikia waasi wakiteka maeneo yanayo shikiliwa na serikali ?
Uturuki atajitutua weeee ila mwisho ukweli utabaki pale pale ya kwamba ni razima aondoke syria.
Uturuki wameamua kutumia propaganda baada ya kuona battle ground ni pagumu kwaoKama vimesambaratika Mbona hatujasikia waasi wakiteka maeneo yanayo shikiliwa na serikali ?
Uturuki atajitutua weeee ila mwisho ukweli utabaki pale pale ya kwamba ni razima aondoke syria.
Uturuki wameamua kutumia propaganda baada ya kuona battle ground ni pagumu kwao
Sijuo wanachukuliaje kuangamiza tank 135
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiufupi Hizo Ni PropagandaBattle for Idlib: Turkey's drones and a new way of war
Turkish forces destroyed two Syrian Su-24 fighter jets, two drones, 135 tanks, and five air defence systems and "neutralised" more than 2,500 fighters loyal to the Syrian government. The term neutralised is used for the killing, wounding, or capturing of pro-al-Assad forces.
Battle for Idlib: Turkey's drones and a new way of war
Turkish forces destroyed two Syrian Su-24 fighter jets, two drones, 135 tanks, and five air defence systems and "neutralised" more than 2,500 fighters loyal to the Syrian government. The term neutralised is used for the killing, wounding, or capturing of pro-al-Assad forces.
Enzi za electronic warfare infantry "askari wa miguu" wanapuputishwa kimasikhara na mtaalamu mbele ya screen na game console.hahahaha wao wanatumia msemo kuwa asikari wa siria 2,500 have been neutralised sijui huwa wanamaanisha nini ila inaonekana wanapata kipigo haswa!
Navita yenyewe ingemalizika leo leo nawala nisingeshangaa kuona serikali ya RUSSIA Keshokutwa Asubuhi Inafungasha Virago Vyavikosi Vyao Nakurejelea MOSCOW Maana Wangelishakua Washapoteza Vita Kinyume Yamatakwa Namatarajio Yao Askari 2500 Kuna Kama Kambi Mbili Ama Tatu Hapo UjueUpuuzi mtupu. Vita inapiganwa field sio kwenye media. Tanks 135 na askari 2500 within One week hiyo ingekuwa victory of the decade
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua Imetokea Hili Jambo Kwaharaka Hivi Hii Vita Ingekua Ishamaliza Leo.....Kuharibu vifaru 135 na kuua askari 2500 sio rahisi ki hivyo....
...
hii habari imekaa ki-propaganda.