Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,357
Yaani hao wapika propaganda wao hata mm nawazidi akili PUMBAV Zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa waturuki wamekua waongo sana..halafu taarifa hizi zinatangazwa na vyombo vyao tu..
Siku moja askari 2500, vifaru 135...si vita inaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuangamiza vifaru 135 na askari 2500 kwa kutumia drone haina tofauti na Rambo kuangamiza jeshi zima la wavietnam kwa kisu tu.. Hizi ni stori tu za vijiweni.. Uharibifu wa scale hii unategemea unaweza kufanywa na Bombers tena zile heavy ambazo sidhani kama Uturuki wanazo
Yani habari msiozipenda mnaita ni propaganda.Kuharibu vifaru 135 na kuua askari 2500 sio rahisi ki hivyo....
...
hii habari imekaa ki-propaganda.
Habari zisizoegemea upande wa Russia Au Syria ni propaganda sio?! Teh..
Basi sawa wameua nakuripua kweli hizi sio propaganda ...Yani habari msiozipenda mnaita ni propaganda.
Mnachekesha kweli
Hapana Mkuu Sio Propaganda.....Habari zisizoegemea upande wa Russia Au Syria ni propaganda sio?! Teh..
Tulieni dawa iwaingie. Shughuli ndio kwanza imeanza
Propaganda tu hizi.ππππYani habari msiozipenda mnaita ni propaganda.
Mnachekesha kweli
Yaani hapo kapiga nakuuwa wingi wa askari wa zaidi ya kambi mbili zakijeshi halafu bado habari kama hio anayo mwenyewe tu kwake turkey[emoji16][emoji16]Askari 2,500? Vifaru 135? Hahaha, labda vifaru vya nchi nzima ya Syria vimelipuliwa[emoji23][emoji23] halafu hao Askari 2,500 walikuwa wamesimama ili wauliwe?
Why such exact number???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji86][emoji86] Edorgan
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona leo Al Jazeera rais Putin akikutana na rais wa Uturuki Edorgan kuhusiana na hii vita. Naona kuna makubaliano wanataka wayafikieBattle for Idlib: Turkey's drones and a new way of war
Turkish forces destroyed two Syrian Su-24 fighter jets, two drones, 135 tanks, and five air defence systems and "neutralised" more than 2,500 fighters loyal to the Syrian government. The term neutralised is used for the killing, wounding, or capturing of pro-al-Assad forces.
Fuatilia taarifa za leo Putin kaenda kuonana na Ardogan. Muda huu wapo kwenye mazungumzoNavita yenyewe ingemalizika leo leo nawala nisingeshangaa kuona serikali ya RUSSIA Keshokutwa Asubuhi Inafungasha Virago Vyavikosi Vyao Nakurejelea MOSCOW Maana Wangelishakua Washapoteza Vita Kinyume Yamatakwa Namatarajio Yao Askari 2500 Kuna Kama Kambi Mbili Ama Tatu Hapo Ujue
Sent using Jamii Forums mobile app