Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Ana hitaji kugombea?? Kabudi ni mbunge wa jimbo gani?? Story ya kufikirika hii.... Ampe tu
Nafasi za Ubunge wa kuteuliwa na Raisi kwa upande wa wanaume zimeisha na kama anataka kumpa nafasi ya Waziri Mkuu lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa
 
Kumbe ndio maana maalim seif kacheka saaaaana!
 
Kwani lumumba toka lini wakawa na akili zaidi ya ubongo wa panzi,unahonga ili kurudia uchaguzi kwa mabillioni hku mshindi akiwa anajulikana,upinzani usipeleke mgombea wagombee ccm na vyama vya msimu
Watagombea wenyewe na vyama vya msimu tlp na cuf lipumba,awamu wa phd hewa
 

Hakuna Qualification ya vyeti kwenye nafasi ya ubunge
pili NEC ina mfumo wake wa rufaa usioihusisha mahakama
 
Hakuna Qualification ya vyeti kwenye nafasi ya ubunge
pili NEC ina mfumo wake wa rufaa usioihusisha mahakama
Umesoma michango ya wengine lakini? Atagombea kwa jina gani? Maana tatizo lazima ugombee kwa jina lako halisi hata kama ni darasa LA saba
 
Na akipewa uwaziri mkuu ujue na maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu bungeni lazima yatafutwa .
 
no napinga illogical thread

kwa nn ahangaike kote huko kama ni kipenzi ha JPM

hata akienda mahakamani, mahakama si ni za ccm?

ndio naona ni uzushi

infact hata akisimama, yule ni unstoppable
Sawa. Ingawa umekwepa swali! Unaweza kulijibu tafadhali?
 
Na akipewa uwaziri mkuu ujue na maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu bungeni lazima yatafutwa .
Na atakuwa PM wa kwanza kuchaguliwa akiwa na mizengwe kibao, hana heshima na muhuni
 
Hivi CCM tukitaka kitu,kuna mtu wa kutuzuia?

Kuna mahakama ya kumzuia CCM Tanzania hii?

We jidanganye tu.
mbona mmeshindwa kuondoa ujinga na umasikini, nini kimewazuia.

mnapeda sofa za kijinga!
 
TRA wawe na EFD kwy haya manunuzi sasa. Tunapoteza kodi nyingi kwenye hii miamala
 
Acha ujinga jina unaweza kuapa mahakamani na likiwa lako
 
ccm nguvu kubwa akili kiduchu.bashite ni janga la taifa
 
Acha ujinga jina unaweza kuapa mahakamani na likiwa lako
Kwa hiyo wewe unaweza kwenda kuapa kuwa unaitwa John Komba Leo na ukawa na haki za JohnKomba za mwaka 2012?
Usiendekeze ujinga kiasi hicho
 
Mwiguru ana tabu sana.....manake kiti kinamendewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…