Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Mtulila ndo nani?kajipange upya ndo urudi
 

Porojo za bavicha ni kibokoo !
 
Hakuna Qualification ya vyeti kwenye nafasi ya ubunge
pili NEC ina mfumo wake wa rufaa usioihusisha mahakama
Hapa hatuzungumzii vyeti mkuu, tunazungumzia jina. Dogo hatumii majina yake halisi. Anaitwa Daudi Albert Bashite.
 
TAKUKURU ndo nini? Wameshindwa la Arusha itakuwa hili?
 
Bashite ni mtu wa kumuamin umuweke kwenye nafas kama hyo kwel?? Ccm angalieni na watu bhana
 
Wamuweke tu hivyo hivyo ,kwani jamaa akiamua nani atapinga?
 
ONGEZA KACHUMVI NA KAPILILI, BADO WABUNGE WATATU KATIBU MKUU MMOJA VITI MAALUM WANNE, MADIWANI SABA, KWAHIYO HIYO ENDELEENI KUVUTA SUBIRA MSIWE NA HARAKA. NA HAO VIGOGO WAAMBIE WAFANYE KAZI NCHI HAINA VIGOGO KWA SASA, YUPO MMOJA TU NA ANAISHI MAGOGONI.
 
Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Eeeenh,na BUNGE litampitisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona nyie hamnunui na babu yenu ana hela za pensheni au kazi kuhonga mkutane kia[emoji83][emoji83][emoji83]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…