jina la mtu ni kutokana na mtu mwenyewe anavyotaka kuitwaHapa hatuzungumzii vyeti mkuu, tunazungumzia jina. Dogo hatumii majina yake halisi. Anaitwa Daudi Albert Bashite.
Mbona kama kweliDu! Mkuu story yako nzuri japo umetunga.
UkajapoDu! Mkuu story yako nzuri japo umetunga.
Huo ndio mkakati uliopo, bahati nzuri bashite kaanza tambo mtaani, ameahidi kuwakomesha watu akiukwaa sababu ndo atakuwa mwenye nchiSidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Duh,afadhali hata umerudi.Acha ujinga jina unaweza kuapa mahakamani na likiwa lako