Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Hapa hatuzungumzii vyeti mkuu, tunazungumzia jina. Dogo hatumii majina yake halisi. Anaitwa Daudi Albert Bashite.
jina la mtu ni kutokana na mtu mwenyewe anavyotaka kuitwa
Registration of Names Act
watanzania muache ulimbukeni
 
Kitu ccm anachowafanya chadema inawafanya wanachadema wote wasiaminiane,,kwel polepole ni kiboko,mlisema nape alikua kiboko sasa hyu anafanya na kuamin kwel siasa ni sayansi
 
Watashinda lakini hawatashinda.

Mipango ya kishetani kamwe haiwezi kushindana na mipango ya Mungu. Watajiona kama wameshinda kwa sasa lakini kuna siku yao ya kuumbuka
 
Watu bwana! Kwani kipi bora, ubunge au ukuu wa mkoa? Mi nadhani kama mzee anataka kumpa wizara angemteua katika nafasi zake 10. Hivyo ni vigumu kuamini habari hizi!
 
Hili nililiwaza Bashite akigombea atawekewa pingamizi na watu wataenda Mahakamani na kupata nafasi ya kutoa ushahidi wote ndipo atakapoumbuka
 
Yatamkuta ya Kihiyo mbunge wa temeke miaka ile
 
Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Huo ndio mkakati uliopo, bahati nzuri bashite kaanza tambo mtaani, ameahidi kuwakomesha watu akiukwaa sababu ndo atakuwa mwenye nchi
 
Mungu pekee atainusuru Tanzania! Nina uhakika kwa asilimia kubwa kwa kadiri ya imani yangu na kwa Mungu ninayemwamini. Nchi haiwezi kupiga hatua yoyote ya maendeleo yenye kugusa maisha ya watu wanaoitwa wanyonge kwa kutumia rasilimali adimu hizo hizo kurubuni wawakilishi na viongozi wa vyama vingine. Hakika Watanzania tunadanganywa kwa kauli za mdomoni na kuziamini ili hali matendo yanayoshuhudiwa ni tofauti. Tuna imani kubwa na Rais wetu mpendwa lakini ni wajibu wetu kukataa matendo ambayo hayaleti afya kwenye utangamano wetu na maisha yetu. Unyonge unakithiri lakini kila siku tunawatamka wanyonge kana kwamba tunawaonea huruma kiasi hicho!! No please!
Watanzania! Hasa wasomi tuache unafiki tuseme ukweli hata kama itikadi zetu ni za chama kinachoongoza serikali!! Hakuna maendeleo tutakayoyashuhudia kwa miaka yote mitano kwa mfumo huu wa utawala.
 
Acha ujinga jina unaweza kuapa mahakamani na likiwa lako
Duh,afadhali hata umerudi.

Kwa hiyo kiapo chake kitayataja majina yake yote aliyowahi kuyatumia,ila atayakana ya zamani na kuyakubali ya sasa au sijui nimekielewa vibaya?
 
Back
Top Bottom