Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Chakaza ni kwanini mnapenda kujidanganya hivyo na baadae kuja kuanza kulalama?

Nani aliwaambia hao mabwana wanaziheshimu mahakama?

Kama ni kuwekwa atawekwa tu na atazawadiwa ubunge hata kama atapata kura tatu(3) dhidi ya kura 10000

Endeleeni kujifariji tu, hamjaelewa au mnaelewa ila mnakataa kuelewa!
 
Hahahahahaha Bavicha bana, hizo serekasi zenu kamwe hazitawapeleka kokote..
 
Anayembeba ndiye aliyetakiwa kulalamika kuwa habebeki
 
Rubbish rubbish, you are dreaming rubbish,
 
Kubadili jina inamhitaji mtu kuapa tu mahakamani.. Sasa hilo pingamizi sijui litawekwa vipi wakati kutakuwepo na hati ya kiapo inayothibitisha ubadiliko wa jina!
 
Teh teh teh ukisoma raha tupu ukiambiwa toa cheti tu aaaaaaaaaahhh! mara Paaap! lakini kwa Bashite unaanza kupiga yowee babaaa weeee nafwa
Kwani jamani tatizo hajasoma au jina sio lake?maana hata sielewi.
 

Hata kama hawaiheshimu mahakama, lakini tukio hilo litaleta picha mbaya ambayo haitafutika. Hata hivyo na wenyewe wamegundua kuwa hizi kelele za wao kutoheshimu mahakama zimeshavuka mipaka ya nchi na huko nje ambako ndio bakuli letu la ombaomba linatembea wameanza kuchoshwa na malalamiko haya.
 
Usihofu utawekwa wewe Kamanda. Ila poleni sana kwa msiba mzito wa Kamanda Mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…